Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

Chama kinajiingiza kwenye matatizo na serikali yasiyo ya lazima. Mbowe ana haki ya kuwakilishwa na tayari ana wakili sasa huu uhuni unaofanyika sasa hivi ni suala la muda kabla serikali haijakibana.
Implication yake ni nini. Kwanini wasiitetee serikali dhidi ya maagaidi.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jambo la kusikitisha sana limefanyika.
Kumuita Mbowe gaidi ni kuutangazia ulimwengu kwamba Tanzania sio salama na hii inapeleka alert ya kiusalama kwa jamii za kimataifa ambazo kila siku tuhimiza kuitangaza nchi watalii waje kwakuwa nchi ni salama.

Kwahiyo tukubaliane kama nchi kwamba Tanzania sio salama kuna magaidi akina Mbowe?

Afande Sirro ndugu yangu Mungu wetu hadhihakiwi, tutakuja kupata magaidi kweli alafu tutatafutana nakwambia tema mate chini mzee hilo hiyo Polisi yako unayoita jeshi haina hata hizo training na vifaa vya kupambana na hao watu, tusijitie nuksi wenyewe ni hatari kubwa
 
Sio kosa wala sio jambo la kisiasa kuwakilishwa na mawakili 386, kwasababu sheria za nchi zinatoa haki kwa washtakiwa wote kutetewa na mawakili mbele ya mahakama (Natural Justice - Right To Be Represented), na haki hio haina mipaka juu ya idadi ya mawakili wanao mwakilisha mshtakiwa.

Ila cha ajabu CCM wataligeuza jambo hilo la Gaidi Freeman Mbowe kuwa la kisiasa zaidi, kama alivyotangulia IGP Sirro kuligeuza la kisiasa jana kwenye press na waandishi wa habari. Akaenda mbele zaidi na kumtia hatiani hata kabla mtuhumiwa Gaidi Freeman Mbowe hajafikishwa mbele ya mahakama.

Cha ajabu IGP Sirro hakuwahi kuongelea kwenye vyombo vya habari swala la viongozi wa umma kutumia vijana wake wa police kufanya uhalifu. Mfano, Paul Makonda na Ole Sabaaya walivokua wakitumia vijana wa IGP Sirro kufanya uhalifu wa kutumia silaha na risasi (Kama alivosema jana tunanunua kwa hela zetu) kuteka na kufanya ujambazi kwa kutumia silaha hizo katika mikoa ya Dar Es Salaam, Arusha, Moshi na Kilimanjaro.

IGP Sirro mungu anakuona, usichokifahamu kesi ya Gaidi Freeman Mbowe umeishaivuruga kwa kuiongelea mbele ya vyombo vya habari, wewe utaitwa kama shahidi na kama nawaona kina Kibatala jinsi watakavyo kupiga maswali siku hio. Mmesha isiriba kinyesi Tanzania kwenye swala la Gaidi Freeman Mbowe kwenye uso wa dunia.
 
Mawakili ni kati ya watu wenye Calendar ngumu. Siyo rahisi kupata mawakili hata 100 kesho ambao hawakuwa wame block siku ya Alhmis 5/8 kwa ajili ya ku appear kwenye Mahakama zingine kuwakilisha wateja wao.
Hivi Mawakili wote wana ratiba ngumu?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Hivi Tanzania kuna mawakili wangapi? Ukipata jumla hiyo, toa 386! number iliyobaki wako upande wa serikali! Au?
 
kwanza Gaidi linapo pelekwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight, hata mfagiaji hapaswi kukatisha mbele.
Hivi Bongo tunaomba Magaidi waje au vipi? Tunaweza kuhimili muziki wa Magaidi? Nchi nyingi zinateseka kwa sababu ya ugaidi naona siye tunachekelea ugaidi
 
Kuna aibu inaenda kuwakumba watu fulani fulani!!
 
Wanalipwa na nani?
Wanajitolea,Haki katika nchi za Kidikteta ni gharama sana.Haukumbuki jinsi Mh.Lissu alivyotibiwa na kuponywa na umauti ama ile fine ya 350 Million waliyohukumiwa viongozi wa CDM ilivyolipwa?Hamjifunzi?
 
"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji

Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]

Nashauri mahakama wahamie uwanja wa taifa ili mawakili na wasikilizaji wapate nasi ya kutosha na kuepusha janga la corona.
 
Wanalipwa na nani?
Hawa mawakili wanaamini kwamba Mbowe siyo gaidi, hivyo wataifanya kazi yao kwa weledi kuujulisha Umma ufedhuli wa Serikali iliyopo madarakani pamoja na Jeshi la polisi. Mbowe siyo gaidi wala hata haileti picha eti Mbowe gaidi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom