Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

Mawakili Wasomi wanao jitambua kamwe hawawezi kujihusisha, hawatokubali kujichafua na kinyesi hiki.
 
Kumtetea gaidi ni kupoteza muda.
 
Wingi wa mawakili katika kesi hiyo, tunaweza kutafsiri kuwa kesi hii imewagusa watu wengi sana. Unaposema Kiongozi wa Kisiasa ni Gaidi unasababisha wasomi wa sheria kukusanyika na kutafuta tafsiri sahihi. Hakika siku itafika ukweli utajitenga na uongo na itakuwa aibu kubwa kwa upande mmoja.

Mungu atatenda kwa haki na haki itatamalaki
 
Lini DPP atasema hana interest na hii case?
 
Unamaanisha kiongozi wa kisiasa hawezi kutuhumiwa kwa makosa ya Ugaidi?!

Unataka kusema wanasiasa wana kinga/immune ya kuto kushitakiwa kwa makosa ya Ugaidi?!
oohh!
unamaanisha kuna tafsiri ya neno "UGAIDI" inayo wahusu wana siasa na tafsiri nyingine inawahusu watu.wengine!!!
 
Kwa mtindo huu sisi mawakili wa serikali tutaendelea kuonekana vilaza kila siku.kesi haina miguu wala kichwa alafu ushindi mnataka tuwalete.
 
Niliposti uzi wenye maudhui Kama haya mods wakaufutilia mbali nimecheka mpaka Basi kumbe wanaogopa magaidi ila wanasingizia watu ugaidi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wingi wa mawakili haina uhusiano wowote na kushinda kesi, inategemea na uzito wa evidence na kuutua mzigo huo ( onus probandus) inshitaji utoe diffence yenye uzito zaidi ya evidence yao na sii kuleta kijiji cha mawakili
 
CCM hawana aibu
 
Mtu nyeti kama Mh. Mbowe anatakiwa kutetewa na mawakili wasomi kama hivyo.
 
Hao mawakili wana ufahamu na kesi za Kigaidi? Wameisoma vizuri sheria ya Ugaidi? Wana ufahamu wa kutosha wa kisheria linapokuja suala la ku_finance Ugaidi? Au ndio zile zile akili za KINYUMBU?

Mawakili wasomi my black ugly a**!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…