Kibatala apatiwe ulinzi...
4. Prosecution wameshindwa kuipa kesi miguu kwa kuonyesha ni jinsi gani pesa alizotuma mbowe ziliweza kuprocure ugaidi. Pesa zinaonekana ni za nguo,chakula, nauli. Pesa nyingine upelelezi hawakusema zilitumika vipi bali ukawa unajibu ni transaction fees.
Katika hoja ya transaction fee Kibatala alikuwa na swali moja tu.
Swali: Ulimwambia mheshimiwa jaji maswala ya transaction fee?
Jibu: Sikumwambia
Swali:Katika maelezo yako kuna sehemu tutaona umeelezea hivyo?
Jibu: Sikueleza
Hapa ndipo kesi ilipokatwa mtama.