Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

Hii kesi iliishaisha!. Kina Halima wanafuta kesi leo!, kesho msamaha wa jumla kwao unatangazwa!.
P
 
Tangu mwenyekiti wenu aanze kulamba asali nyie makamanda uchwara mmebaki na hako kamsemo kenu ka stay tuned.
toka mzee mdee awahonge nyie sukuma gang ili mumtetee mmekuwa vichaa hadi mnafikir kutokuhojiwa kwa mzee mdee na mke wake ester bulaya ni kwamba wameshinda kesi.
 

My take:
Nafikiri hiyo ni tactical move, Sheria iko very logical, ni kama physics. Kumbuka kesi ya Mwenyekiti ilivyo collapse ghafla baada ya wanaoshitaki kutokuwa na nia ya kuendelea kushtaki.
Nadhani hiyo ni kete Moja ndogo tu kwenye picha kubwa ya Maridhiano. Kumbuka ruzuku zimeanza kulipwa, kumbuka Mama atakuwa mgeni rasmi wa BAVICHA. Kumbuka Mama amesema 'Mwanaume ni kujianini', "Mwanamke ni kujiamini'. Kuna message kubwa sana hapo!

Kwa kifupi hii game iko level ya juu sana. Sio rahisi kuielewa kama huwezi kuona picha kubwa!. Bahati nzuri Nchi hii sio kama Sudan Kusini, au Burundi kwa mfano, kwamba unaweza ukaja ukaivunja vunja, vinchi vidogo vinagombana vyenyewe na kubakia maskini wa kutupwa. Nchi hii ni kubwa, Tanzania ya Julius Nyerere, na kwa mwendo huu, Mama atakuja ku prove ni best President since Nyerere. My humble take!
 
Kama wakiwasameje ni kitu kizuri nchi imepitia Kipindi kigumu kidemokrasia (japo nilimkubali jiwe), Lissu Lema na familia zao walikimbia, sasa Kama wanaume wazima na ndevu zenu, na korodani zinaning'inia, mlitoka mbio, mlitegemea nini kwa hawa akina mama ambao wamepitia shida kubwa, mlitaka wafe?

Walikubali masharti ya serikali ili kujiokoa, msahemeane muanze upya, bado ni wapambanaji sana, watieni moyo
 
Hivi mtu na akili zake timamu anaweza kukubali kuwa na kiongozi kama mbowe au sa100 kweli [emoji849][emoji849]huyo mtu wa hivyo ni zaidi ya mpumbavu ....mimi nashangaa kuona watu wanapoteza muda na chama cha chadema ambacho kimejaa wapuuzi walio tukuka jamii ya kina Zelensky wa ukrain ...watu ambao wameshikiwa akili na wazungu kwa kiwango cha kuwaona hao wazungu ni miungu wao
 
Jipige kifuani mara 3 kisha sema mimi juha chawa wa CCM akili yangu imekwama
 
Hii kitu Mnyika na Mbowe wanaijua vema sana.
Mnyika na Mbowe ndio nani Chadema? Waliowatimua ni baraza kuu so hata Mbowe afanye Nini ni lazima kesi irudishwe baraza kuu ambako hawawezi kubali kuwasamehe. So hata wakishinda kesi watapelekwa Tena baraza kuu ambako watatimuliwa Tena Wala haipo Tena kwenye mikono ya Mbowe na Mnyika kuamua hatma Yao.
 
Vipi una maoni Gani baada ya Mbowe kugongelea msumari wa COVID 19.mbele ya Rais.

Alafu ni aibu kwa mwandishi msomi na nguli kama wewe kupost tweet ya fake news. Hivi ulishindwa kufanya fact checking kabla ya kupost hiyo tweet?

Kweli media zipo Kenya tu huku tuna makanjanja.
 
Mkuu kesi hapa sio nani kapeleka majina au uhalali wa ubunge wao!! Wale wanataka kurudishiwa uanachama wao sio kubaki wabunge!!

Wanachopinga wao ni kufukuzwa bila kusikilizwa na kwamba kamati kuu walikua biased. Wala hawaongelei uhalali wa ubunge wao.
 
Jipige kifuani mara 3 kisha sema mimi juha chawa wa CCM akili yangu imekwama

Huyu Pasko aligombea jimbo la kawe, wajumbe wa Nyoka wa Kijani wakampa Kura MOJA tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…