Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.

Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .

Simple tu watapata tafsiri lakini je mbowe anaendelea kunyea ndoo na yule jamaa alimwambia ataenda kumtoa polisi au mahakamani naye bado ananyea ndoo yaani mnatesa wenzenu nyie mko kwenye keyboard mnacheeeeeeeeeeeekaaaaaaaa
 
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu , ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.

Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .

View attachment 1890790
Hivi tutaendelea kuwa salama kweli kwa mwendo huu wa nchi?

Niseme wazi, haya nayo ni mabadiliko, hata kama ni ya aina ambayo hatukuyategemea, na ndiyo yatakayotupeleka kwenye mabadiliko ya kweli.

Hakika tumekwishaianza safari yetu ya mabadiliko Tanzania.
 
Hata yakija yatakuja na rangi Ile Ile mlitakiwa kuyafanya mwaka1995 enzi za Mrema. Ni Zambia pekee ndiyo waliwahi na pia Malawi the rest is too little late
 
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu , ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.

Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .

View attachment 1890790
Mungu ibariki CHADEMA
 
Mungu ibariki CHADEMA
1628860036196.png

HAWA KWELIII AU WENGINE?

2878995_images_9.jpeg
 
Back
Top Bottom