Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Yuko wapi na nani sasa?Yuko wapi apelekewe documents za charges?
Yuko wapi na nani sasa?Yuko wapi apelekewe documents za charges?
Tawaza ulale hukoMzee una bipolar disorder nini?
Unasahau kama wagonjwa wa alzheimer!
Wewe mwenyewe umesema washitaki kwa mungu,na mimi nikakwambia huyo mungu yuko wapi tumpelekee charge sheet?
Unasahau your own shit kama panzi
Kwa mtu kama wewe kuandika hayo, inatosha kusema kwamba tunasonga kwenda mbele. Usirudi nyuma, twende mbele zaidi.Hata yakija yatakuja na rangi Ile Ile mlitakiwa kuyafanya mwaka1995 enzi za Mrema. Ni Zambia pekee ndiyo waliwahi na pia Malawi the rest is too little late
Mimi sipendi CDM wala sipendi CCM lakini usicheke mtu aliyewekwa ndani kule ni kwa kila mtu......SIMPLE TU WATAPATA TAFSIRI LAKINI JE MBOWE ANAENDELEA KUNYEA NDOO NA YULE JAMAA ALIMWAMBIA ATAENDA KUMTOA POLISI AU MAHAKAMANI NAYE BADO ANANYEA NDOO YAANI MNATESA WENZENU NYIE MKO KWENYE KEYBOARD MNACHEEEEEEEEEEEEKAAAAAAAA
Wakuu hakuna haja ya kutoana macho , tubaki kwenye uziTawaza ulale huko
Analeta ujinga kwenye mambo ya msingiWakuu hakuna haja ya kutoana macho , tubaki kwenye uzi
Nzi wana kuzunguka jikagueNaona umejipa kazi ya kuwafundisha watu wazima wakatawaze...unalipwa?
Ubongo wako mbovu,unasema kitu hapo hapo unasahau,utakua na hewa kichwani!
Huyu mama ni Huhihui hatari kabisaSisi haya tuliyaona mapema tu kuwa it was just samianomics which grabed the majoirty to her skin tight....
Hakuogopwa Idd Amin ndio aogopwe huyu ?Anapaswa Kuwa hivi alivyo ili mumeheshimu na kuogopa. Sio mama yenu au nyanya enu
Afadhali Sasa mmeturudishia Mama yetu, maana mlingangaana nae sana,Mara Mama anaupiga mwingi,Sasa hivi wote mnamkimbia kisa kaamua kusimamia haki bila ya upendeleo!!Mimi hilo naliona kama takataka tu nimeshalifuta!
Linasimamia haki wapi halina akili! Juzi limetegwa kiswali kidogo tu likaingia lizimalizima! Haliwezi kujiongeza bongolala!!Afadhali Sasa mmeturudishia Mama yetu, maana mlingangaana nae sana,Mara Mama anaupiga mwingi,Sasa hivi wote mnamkimbia kisa kaamua kusimamia haki bila ya upendeleo!!
Can you imagine? Yaani watu mbalimbali including “development partners” wa Serikali hii wamejaa mahakamani then Serikali inakuja na hoja za kijinga kabisa eti wamekosa usafiriRais Samia Suluhus Hassan amejichafua nje na ndani ya nchi.
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu , ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.
Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .
View attachment 1890790
Kama Hatuna Imani na mahakama, kwanii tunafungua kesi hapohapo tusipo na imani napo?Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu , ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo.
Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate tafsiri Mahakama kuu .
View attachment 1890790