Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.

Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
πŸ‘‡

Your browser is not able to display this video.
 
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.

Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
πŸ‘‡

View attachment 3652535
sema tu unatamani na wao watibue minywele kama yule mtuhumiwa mwendawazimu πŸ’
 
Ni kweli kwa mujibu wa kinachoonekana hapo, wanajificha nyuso/sura zao.

Nafurahia kuwa katika jopo lote hilo, hakuna wakili hata mmoja ambaye namfahamu binafsi na nina ukaribu naye, maana nami ningekuwa naficha sura yangu kila nikikutana/nikionana naye/nao kwa aibu ili watu wasijue nina mafungamano na watu wa aina hii.
 
sema tu unatamani na wao watibue minywele kama yule mtuhumiwa mwendawazimu πŸ’
Kosa mlilo fanya ni kumkosa kosa pale area D dodoma licha ya kummiminia risasi nyingi. The rest mtaendelwlea kubweka tu hapa mitandaoni huku akiendelea kuwachachafya
 
Kosa mlilo fanya ni kumkosa kosa pale area D dodoma licha ya kummiminia risasi nyingi. The rest mtaendelwlea kubweka tu hapa mitandaoni huku akiendelea kuwachachafya
hizo porojo mkapotoshane na wafuata mkumbo wenzako gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Lisu anatisha so poa nenda wewe dunguchu ukajaribu bahati yako wenzio huko vichwa chini huyo mwingine naona anaperuzi anatamani kuandika uzi jf kuomba kuacha kazi
anatisha wapi na yupo korokoroni gentleman?
 
Huo ndio uwanja wake ukimtaka nenda kule akakukaange haogopi korokoroni yule
mtu anajikaanga mwenyewe kwa uropokaji wake korokoroni halafu mamluki wake unakaja kumbwelambwela jukwaani, et ng'we ng'we kaanga
 
Hakuna jambo gumu kama lile la kuacha utaalam wako pembeni, halafu ukafanya kazi kwa mashinikizo ya wanasiasa. Yaani unatambua fika hapa kuna uongo, lakini unalzimishwa useme kuna ukweli. Hapa lazima ujisikie aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…