Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
- #21
Kwa kweli inaelewekaDah, hebu vaeni viatu vyao muone!
Kwa kweli inaelewekaDah, hebu vaeni viatu vyao muone!
Wanajua kesi haramu wanaisimamia.Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
View attachment 3652535
Huo ndiyo ukweliusipotoshe wadau wa JF kindezi hivyo gentleman na itapendeza zaidi 🐒
watu wapo kazini,Kutimua nywele na kuficha nyuso kunahusianaje? Hiyo akaunti nani mida hii anaitumia?

Mlidhani mbowe yule kuwa atajikokota miguuni ili asamehewe? hiko ni chuma ukiweka anaweka ukitoa anatoa!mtu anajikaanga mwenyewe kwa uropokaji wake korokoroni halafu mamluki wake unakaja kumbwelambwela jukwaani, et ng'we ng'we kaanga![]()
basi ongeza bidii kupotosha wafuata mkumbo wenzako na itapendeza zaidi 🐒Huo ndiyo ukweli
chuma kina sota korokoroni na kwenda kizimbani na kontena la kiporo cha ubwabwa?Mlidhani mbowe yule kuwa atajikokota miguuni ili asamehewe? hiko ni chuma ukiweka anaweka ukitoa anatoa!

Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
View attachment 3652535
Kuna mmoja kafanana na Mwaipopo kwa sura hadi akili!Ni kweli kwa mujibu wa kinachoonekana hapo, wanajificha nyuso/sura zao.
Nafurahia kuwa katika jopo lote hilo, hakuna wakili hata mmoja ambaye namfahamu binafsi na nina ukaribu naye, maana nami ningekuwa naficha sura yangu kila nikikutana/nikionana naye/nao kwa aibu ili watu wasijue nina mafungamano na watu wa aina hii.
Jizi na lipenda rushwa limekazana sana kupost. halioni aibusema tu unatamani na wao watibue minywele kama yule mtuhumiwa mwendawazimu 🐒
Angekuwa hatishi asingekuwa huko.anatisha wapi na yupo korokoroni gentleman?![]()
uko sahihi kwamba kibaraka hatishi ndio maana anasota korokoroni 🐒Angekuwa hatishi asingekuwa huko.
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
View attachment 3652535
Katuga yeye tu ndiye rings zilishakata..kichwani..hana soni...alishakunywa Maji ya Shati la Kijani La Mzee Wassira.Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
View attachment 3652535
Kuwa prosecutor kwenye nchi yenye Serikali inayoongozwa na genge la majambazi ni kujifedhehesha tu!Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
👇
View attachment 3652535