Mawakili wa Serikali wanaficha nyuso zao kesi ya Lissu?

Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.

Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
πŸ‘‡

View attachment 3652535
Wanajua kesi haramu wanaisimamia.

Na inawezekana hao mawakili wametoka kitengo hivyo wanaficha ID zaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.

Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
πŸ‘‡

View attachment 3652535

Ni dhahiri kesi waliisuka vibaya.
Na Kisheria wameshindwa.

Ule ushahidi wa Video kukataliwa na ule wa maandisho ya mo29 pamoja na kusema Lissu ndio alichapisha ile Habar kwenye JamboTV ndio umewaangusha.

Sio mara ya kwanza Jamuhuri kushindwa Mahakamani.
Mchungaji Mtikila ashawashinda sana dhidi za serikali.
 
Kuna mmoja kafanana na Mwaipopo kwa sura hadi akili!
 
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.

Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
πŸ‘‡

View attachment 3652535
Katuga yeye tu ndiye rings zilishakata..kichwani..hana soni...alishakunywa Maji ya Shati la Kijani La Mzee Wassira.
 
Bila Huba,Unafki Mleta Mada Ungekuwa Wewe Wakili
Jambo Kama Hili Usingependa Ujulikane
Nakukumbusha Ahadi Ya Mwana TANU

Nitasema Kweli Daima Fitna Kwangu Mwiko

Sasa Hao Hawasemi Ukweli Ndiyo Nyuso Zimewashuka
 
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.

Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao kuonekana kideoni.
πŸ‘‡

View attachment 3652535
Kuwa prosecutor kwenye nchi yenye Serikali inayoongozwa na genge la majambazi ni kujifedhehesha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…