tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani
Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons.
Tunapinga baadhi ya mashahidi aliowataka kwa mujibu wa vifungu vya 314(2) na 281 cha CPA. Kwa rejea halisi, ukiangalia kifungu cha 281 cha Sheria (anakisoma), Msajili atatoa summons kwa mashahidi ambao mshitakiwa aliwataja na wale waliotajwa.
Hivi ni vifungu vya sheria. Kama hao mashahidi angewataja kwenye committal.
Mshitakiwa aliposimama amezungumza maneno mengi bila kutaja sheria ya hao mashahidi.
Kifungu cha 314 kinazungumzia additional procedure ya kuwaita hao mashahidi.
Niko aware kwamba aliwataka wakati wa committal, lakini tulinyamaza tukawaza kwamba tungesema tuipeleke mahakama.
Mshitakiwa aliwataja mashahidi hao.
Hakuwataja wakati wa committal, bali alisema atawaita.
Ni mahakama itakapoonyesha relevance ya huo ushahidi ndio itawaita.
Kifungu cha 146 ni kosa la jinai au mahakama inaelekeza kukamatwa kwa mtu anayekataa kutii wito.
Kutokana na mazingira haya, mahakama haiwezi kutoa wito bila kuonyesha mtu huyo ni...
Haiwezi kumwita mtu ambaye haelewi fact in issue au ushahidi wako hauko connected na fact in issue.
Wito ni order, unatoa wito kwa Rais, mahakama ina Rais wake? Anaomba kuitwa Rais halafu hajaomba measure.
Mashahidi watatu wa mwanzo.
Samia Suluhu Hassan, Philip Isidory Mpango na Kassim Majaliwa, kwa mujibu wa mshitakiwa, hao ni viongozi wa Serikali ambao inamtuhumu kumtishia.
Kwa mujibu wa Ibara ya 35(1) Katiba, Rais atakuwa kiongozi wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu.
Ibara ya 47(1) inamzungumzia Makamu wa Rais atafanya kazi zote atakazoagizwa na Rais.
Ibara ya 52 inamzungumzia Waziri Mkuu kwa utekelezaji wa kila siku wa utekelezaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ibara ya 35 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Shughuli zote zitatekelezwa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanatekeleza shughuli kwa niaba ya Serikali.
Mashitaka yanadai mshitakiwa ameshtakiwa kwa nia ya kuitishia Serikali regardless imetishika au la.
Upande wa Jamhuri umeleta ushahidi, kwa maneno mengine, Rais ametoa ushahidi Ibara ya 35.
Mshitakiwa amesema anawaita mashahidi waseme kama walitishiwa, lakini kosa ni nia ya kutishia Serikali. Sasa shahidi anasema waje waseme umetishiwa au haukutishiwa?
Kwa ushahidi huo hauna umuhimu.
Mashahidi ambao mshitakiwa anataka kuwaita sio material, hakuna haja ya kuwaita kwa sababu ni discretion ya mahakama.
Mashahidi hao ni watumishi wa Serikali na ushahidi wao ulishatolewa na mashahidi.
Ni kama anataka kuwafanyia cross examination ya ushahidi uliotolewa na watumishi wengine.
Kitu ambacho kinakuwa... kinakuwa kinyume cha
Kifungu cha 155 hadi 156 Evidence Act kinachotakiwa shahidi awe... kama unaamini ushahidi wake ni muhimu wa kuweza kuisaidia mahakama kufikia maamuzi. Unaomba mahakama uwaone mashahidi na sio wewe kuwaita, isipokuwa kama mahakama itaona huyo shahidi ni muhimu itamwita. Sio yeye yeye awaite ili waeleze.
Kwanza amecontravene ushahidi au amekosea vifungu. Hivyo tunaona mashahidi namba 1 mpaka 7 aliowaita wasiitwe, sina shida na mashahidi wengine.
Wakili wa Serikali Mkuu, Ignus Mwinuka: Masuala ya Rais yanasimamiwa na sheria Presidential Act kifungu cha 9. Shahidi akiitwa mahakamani anawajibika kufika bila kukosa.
Kwa mujibu wa kifungu hiki, mahakama hii haina mamlaka ya kutoa wito wa kumlazimisha Rais kufika kutoa ushahidi.
Wakili wa Serikali Mkuu, Job Lema: Ni wasilisho letu kwamba mahakama itake note kwamba Section 24 Tanzania Intelligence and Security Act. Kinaeleza kuhusu protection of source of information.
Kwa kuzingatia mshitakiwa anataka mashahidi, akiwamo DGIS, apewe summons ili anapate taarifa. Kwa cheo chake anafungwa na masharti ya cheo hiki. Kufanya hivyo, sheria hii na kifungu hicho kimeweka zuio. Kutoa ushahidi watatoa taarifa zilizozuiwa. Mahakama itakuwa na mgogoro wa kisheria.
Pia soma: Kumbukizi: Rais Mkapa akitoa ushahidi Mahakamani Kisutu