Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani

Lissu alipokamatwa Rais alikuwa Kizimkazi.
Hakuona kitu kwa hiyo hawezi kuwa shahidi.
Na Rais ndiye anamshtaki Lissu kwa uhaini.
Rais hawezi kuwa mtetezi wake.
Rais ndiye anayewashtaki wote wanaofikishwa mahakani.
Anataka kuwafunga siyo kuwatetea.
 
Saa100 asipokwenda Mahakamani, kutoa ushahidi wake ,ina maana ,amedhamiria kumfunga Lissu yeye na Serikali yake.

Matokeo yake,wananchi wataichukia Serikali yake,viongozi wake na chama chake kuelekea 2030-2040
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…