Msauzijoseph
Member
- Feb 2, 2022
- 40
- 25
kwani ukiachana na kodi nayolipa mimi na hizo hela za mbowe ambazo hazinihusu inamaana hamna upigaji sisi wanyonge ndo tutaendelea kupelekwa kama kipofu..sasa hivi ni kila mtanzania na maisha yake hatuoni kinachofanyika ngazi za juuHela ipi inayokuuma wewe raia mnyonge?
Za mawakili wa Mbowe ambazo hazikuhusu au za mawakili wa Jamuhuri na Jaji ambazo ni kodi yako?