Mawakili wa utetezi punguzeni muda wa cross examination, kesi ya Mbowe yaweza kuamuliwa kwa haki kabisa hapa ilipofikia

Hela ipi inayokuuma wewe raia mnyonge?
Za mawakili wa Mbowe ambazo hazikuhusu au za mawakili wa Jamuhuri na Jaji ambazo ni kodi yako?
kwani ukiachana na kodi nayolipa mimi na hizo hela za mbowe ambazo hazinihusu inamaana hamna upigaji sisi wanyonge ndo tutaendelea kupelekwa kama kipofu..sasa hivi ni kila mtanzania na maisha yake hatuoni kinachofanyika ngazi za juu
 
Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake.

Kwa muelekeo wa mashahidi waliopita mambo mengi yatakuwa ni ya kujirudia rudia tu kutoka upande wa mashahidi wengi waliobaki. Kupunguza urefu wa hii kesi Mawakili wa utetezi wafanye cross examination isiyozidi saa moja kwa baadhi ya mashahidi wa kawaida na wasifanye cross examination kabisa kwa angalau mashahidi sita.

Kwa mpango huu itafanya uwezekano wa kuwepo angalau shahidi mmoja kila siku na na kumaliza upande wa mashahidi wa Jamhuri ndani ya wiki tatu ila upande wa utetezi uanze kuletea mashahidi wake na kuimaliza kesi mapema.
Nakuhakikishia kwamba mashahidi wa Jamhuri hawatafika 24
 
Ungewashauri upande wa mashtaka wasilete mashaidi zaidi ili kuimaliza kesi mapema. Ni wajibu wa mawakili wa utetezi kuwahoji kikamilifu mashahidi wote wanaoletwa mbele yao. Wasipofanya hivyo hawatakuwa wanawatendea haki wateja wao.

Amandla...
 
Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake.

Kwa muelekeo wa mashahidi waliopita mambo mengi yatakuwa ni ya kujirudia rudia tu kutoka upande wa mashahidi wengi waliobaki. Kupunguza urefu wa hii kesi Mawakili wa utetezi wafanye cross examination isiyozidi saa moja kwa baadhi ya mashahidi wa kawaida na wasifanye cross examination kabisa kwa angalau mashahidi sita.

Kwa mpango huu itafanya uwezekano wa kuwepo angalau shahidi mmoja kila siku na na kumaliza upande wa mashahidi wa Jamhuri ndani ya wiki tatu ila upande wa utetezi uanze kuletea mashahidi wake na kuimaliza kesi mapema.
Hizo siku za semina wanazotumia mawakili wa serikali kuwaweka sawa mashahidi wao wewe hauoni zinapoteza muda mwingi sana, kuna siku Jaji alijisafisha kwa kujidai eti anawaonya kumbe ni walewale.
 
Kazi ya utetezi ni kuuliza maswali na kujenga misingi ya utetezi wao.
Nina imani kukomaa na Lt. Urio kwa masaa 16 kulikuwa na umuhimu wake!!
Kwa hiyo iache ibaki hivyo hivyo.
 
Mkuu kesi hii si kwa Mbowe tu hata wale wengine wanaoonewa na kesi za Michongo.....Naomba Maswali yaulizwe ili kuendelea kuwaacha midomo wazi wachongaji wote wa hii kesi...Kingai and his team
 
Urio alikuwa dalali wa Mbowe kumtafutia walinzi makomandoo...akaifanya hiyo kazi, kifupi kazi yake iliishia pale ( sidhani kama anaweza kuwa shahidi muhimu)...

Ushahidi muhimu ni nia ya wahusika wenyewe Mbowe na makomandoo kwenye mipango yao, hapo kati serikali inaushahidi wowote dhidi ya nia yao?.... ni jukumu la jeshi la polisi kufanya proper investigation kabla ya kumkamata mtu, PROPER INVESTIGATION inahitaji watu wenye akili na teknolojia...(tuna hivyo vitu?)
 
Hakuna na hakutakuwa na ushahidi mwingine wowote muhimu wa nia ya uhusika wa Mbowe zaidi ya maneno Urio anayosema aliambiwa na Mbowe pamoja na meseji alizosoma mahakamani, kwa upande wa makomandoo ushahidi wa msingi ambao uliwekwa pingamizi na likatupiliwa mbali ni maelezo ya ukiri ya Mohamed Lingwenya.
 
Hizo siku za semina wanazotumia mawakili wa serikali kuwaweka sawa mashahidi wao wewe hauoni zinapoteza muda mwingi sana, kuna siku Jaji alijisafisha kwa kujidai eti anawaonya kumbe ni walewale.
Bado mashahidi wa upande wa washtakiwa na baada ya kusikiliza kesi yote Jaji anaweza kuchukua hata zaidi ya miezi mitatu kuandika na kutoa hukumu. Mwaka unaweza kuisha Mbowe na makomandoo wakiwa ndani.
 
Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake.

Kwa muelekeo wa mashahidi waliopita mambo mengi yatakuwa ni ya kujirudia rudia tu kutoka upande wa mashahidi wengi waliobaki. Kupunguza urefu wa hii kesi Mawakili wa utetezi wafanye cross examination isiyozidi saa moja kwa baadhi ya mashahidi wa kawaida na wasifanye cross examination kabisa kwa angalau mashahidi sita.

Kwa mpango huu itafanya uwezekano wa kuwepo angalau shahidi mmoja kila siku na na kumaliza upande wa mashahidi wa Jamhuri ndani ya wiki tatu ila upande wa utetezi uanze kuletea mashahidi wake na kuimaliza kesi mapema.

Unatarajia haki kutendeka kwenye kesi ya maagizo ya serikali?
 
Ni muhimu sana, mashahidi wa upande wa walioandaa kesi ya kubumba, waulizwe maswali yoye.

Mawakili wa upande wa Serikali, mahakama na mashahidi wa upande wa Serikali ambao idadi kubwa ni polisi, wote kwa pamoja ni watu waovu waliotengeneza hii kesi. Uovu wao ni lazima uanikwe wazi ili wananchi wajue uovu wa polisi, uovu wa serikali, mfumo ovu wa mahakama, na uovu wa wahusika wote kama watu binafsi.
 
Bado Boaz
 
Macho masikio na mioyo yetu, ni aiku Siro atakapohojiwa kama shahidi muhimu upnde wa utetezi.

Ibilisi mkuu ni lazima aanikwe wazi. Ibilisi wadogo wanaendelea kujichanganya.
 
Ni muhimu sana, mashahidi wa upande wa walioandaa kesi ya kubumba, waulizwe maswali yoye.

Mawakili wa upande wa Serikali, mahakama na mashahidi wa upande wa Serikali ambao idadi kubwa ni polisi, wote kwa pamoja ni watu waovu waliotengeneza hii kesi. Uovu wao ni lazima uanikwe wazi ili wananchi wajue uovu wa polisi, uovu wa serikali, mfumo ovu wa mahakama, na uovu wa wahusika wote kama watu binafsi.
Kuna mwananchi hajui uovu wa polisi?
 
Imefika mahali sasa polisi hata wakitoa taarifa za kweli wananchi wanaziona ni za mchongo.
Yaani mahabusu kajinyonga na tambara la dekio.. Serious!!!!
 
Back
Top Bottom