Mawakili wa utetezi punguzeni muda wa cross examination, kesi ya Mbowe yaweza kuamuliwa kwa haki kabisa hapa ilipofikia

Imefika mahali sasa polisi hata wakitoa taarifa za kweli wananchi wanaziona ni za mchongo.
Yaani mahabusu kajinyonga na tambara la dekio.. Serious!!!!
Wamezidi kuwa wamichongo
 
Samahani kama wewe ni mwanasheria .ni kuulize swali .kwanini Kuna cross examination? Faida yake ni ipi katika utetezi? Na je hasara ya kutofanta cross examination ni ipi?
 
Bila shaka wewe Utakua Shahidi Kwenye Kesi hii unaogopa kupigwa maswali
 
ACHA IKAE HIVYO
Nimeongea kwa kelele ili upokee kama maelekezo,maana mmezidi sana ujuaji. Usikute hata neno cross examination umelijulia kwenye kesi hii
 
Wana vuta muda ili kupata public sympathy
🤣🤣🤣🤣🤣 Ukiwa na mawazo ya kikaburu kama hago hatuwezi kuendelea kama kwa macho ya kawaida kesi inaonekana ukelweli ni upi na uongo ni upi
Yaani mnataka kutuaminisha uongo ili mmuokoe?
 

Kesi haziendi hivyo. Mashahidi hawaitwi mahakamani ili kujifurahisha.

Uamuzi wa kutumia muda mwingi au muda kidogo kwenye cross-examination haufanywi kabla ya kusikia testimony ya shahidi.
 

Mashahidi 24 ni wa serikali sio wa utetezi. Haiwezekani akaja shahidi akasema uongo halafu mwanasheria wa utetezi asihoji
 
Alfred Pigangoma habari za siku nyingi mkuu
 
Mtoa mada wewe ni wakili?
Wakili anauliza maswali kuweka kumbukumbu mahakamani ili anapokuja kuleta mashahidi pawe na msingi. Wanahoji ili wakileta shahidi kuprove wrong hoja za wenzao lisiwe jambo jipya kwenye mahakamani.
Mfano: Shahidi (name withheld) aliulizwa juu ya anapotoka anapokuja mahakamani. Huko mbele utetezi wenda wanaweza kuleta shahidi atakaethibitisha kwamba Luteni anatoka sehemu ingine kwa watesi wa washtakiwa.
Wao wahoji kila kitu,server ya mahakama haijai. Utamu wa hii kesi sio sasa wakati wa Cross ex. Utamu upo mbele kwenye utetezi. Tuwe na subira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…