Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wana vuta muda ili kupata public sympathy
[/QUOTE
Na nyie harakisheni ili ubambikiaji wenu uzae matunda myatakayo🤔.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana vuta muda ili kupata public sympathy
[/QUOTE
Na nyie harakisheni ili ubambikiaji wenu uzae matunda myatakayo🤔.
Wamezidi kuwa wamichongoImefika mahali sasa polisi hata wakitoa taarifa za kweli wananchi wanaziona ni za mchongo.
Yaani mahabusu kajinyonga na tambara la dekio.. Serious!!!!
Samahani kama wewe ni mwanasheria .ni kuulize swali .kwanini Kuna cross examination? Faida yake ni ipi katika utetezi? Na je hasara ya kutofanta cross examination ni ipi?Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake.
Kwa muelekeo wa mashahidi waliopita mambo mengi yatakuwa ni ya kujirudia rudia tu kutoka upande wa mashahidi wengi waliobaki. Kupunguza urefu wa hii kesi Mawakili wa utetezi wafanye cross examination isiyozidi saa moja kwa baadhi ya mashahidi wa kawaida na wasifanye cross examination kabisa kwa angalau mashahidi sita.
Kwa mpango huu itafanya uwezekano wa kuwepo angalau shahidi mmoja kila siku na na kumaliza upande wa mashahidi wa Jamhuri ndani ya wiki tatu ila upande wa utetezi uanze kuletea mashahidi wake na kuimaliza kesi mapema.
Au siyo mke wa Wakili ChavulaUsisahau Mbowe hajasimama kizimbani na atadodoswa kwa miezi 6
Maswali ya Kibatara inapigwa mpaka Shahidi anacheka mwenyeweBila shaka wewe Utakua Shahidi Kwenye Kesi hii unaogopa kupigwa maswali
🤣🤣🤣🤣🤣 Ukiwa na mawazo ya kikaburu kama hago hatuwezi kuendelea kama kwa macho ya kawaida kesi inaonekana ukelweli ni upi na uongo ni upiWana vuta muda ili kupata public sympathy
Uko sahihi kabisa. Kila jiwe ligeuzwe tujue kila kitu.Kupata haki hakuhitaji njia ya mkato.
Tuwaache mawakili wakamilishe majukumu yao kwa namna wanavyoona inafaa!
Yaani mnataka kutuaminisha uongo ili mmuokoe?🤣🤣🤣🤣🤣 Ukiwa na mawazo ya kikaburu kama hago hatuwezi kuendelea kama kwa macho ya kawaida kesi inaonekana ukelweli ni upi na uongo ni upi
Kupata haki hakuhitaji njia ya mkato.
Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake.
Kwa muelekeo wa mashahidi waliopita mambo mengi yatakuwa ni ya kujirudia rudia tu kutoka upande wa mashahidi wengi waliobaki. Kupunguza urefu wa hii kesi Mawakili wa utetezi wafanye cross examination isiyozidi saa moja kwa baadhi ya mashahidi wa kawaida na wasifanye cross examination kabisa kwa angalau mashahidi sita.
Kwa mpango huu itafanya uwezekano wa kuwepo angalau shahidi mmoja kila siku na na kumaliza upande wa mashahidi wa Jamhuri ndani ya wiki tatu ila upande wa utetezi uanze kuletea mashahidi wake na kuimaliza kesi mapema.
Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake.
Kwa muelekeo wa mashahidi waliopita mambo mengi yatakuwa ni ya kujirudia rudia tu kutoka upande wa mashahidi wengi waliobaki. Kupunguza urefu wa hii kesi Mawakili wa utetezi wafanye cross examination isiyozidi saa moja kwa baadhi ya mashahidi wa kawaida na wasifanye cross examination kabisa kwa angalau mashahidi sita.
Kwa mpango huu itafanya uwezekano wa kuwepo angalau shahidi mmoja kila siku na na kumaliza upande wa mashahidi wa Jamhuri ndani ya wiki tatu ila upande wa utetezi uanze kuletea mashahidi wake na kuimaliza kesi mapema.
Alfred Pigangoma habari za siku nyingi mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Unajidanganya ndugu naona hujafahamu umuhimu wa Cross Examination! Hapo huwa inatumika ili kuutikisa ushahidi uliotolewa, bila kufanya hivyo ni kukubaliana na ushahidi wa michongo uliotolewa! Nakushauri ushauri wako utunze kisha utampatia ndugu yako BASHITE kesi yake inaanza leo!
Hata Bila KESI TUMEKWISHAWAPA SIKU NYINGIWana vuta muda ili kupata public sympathy