Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
2,211
Reaction score
3,527
MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI-

1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria.

2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Toleo No. 20 kama lilivyorekebishwa mwaka 2022 kinasema ni lazima mshtakiwa awepo Mahakamani na Mahakama hiyo ni ya wazi. Pia masharti ya kifungu cha 186 [1] kinasema Mahakama ni ya wazi na Umma utaruhusiwa. Tumesema ni KINYUME CHA SHERIA kwa Mahakama kuendeshwa kwa mtandao.

3.Mawakili wameomba Lissu apewe haki zake zote za kuonana na Mawakili wake pia Mawakili wameomba Mkuu wa Gereza la Ukonga aitwe na kutoa maelezo kwa nini Mawakili na Ndugu hawaruhusiwi kumuona Lissu freely.

4. Mawakili wamehoji Mahakama ni lini na kwa namna gani Mahakama iliamua yenyewe kwamba case iendeshwe kwa mtandao;ilimshirikisha nani na ilikaa na nani?

5. Mawakili wamehoji kwa nini Ndugu, jamaa na Marafiki wa Lissu wamepigwa, kukamatwa na kuwa harrased na Mapolisi; je,Mahakama imeshiriki kuzuia watu kinyume na sheria, au ni yenyewe imeomba msaada kwa Polisi?
FB_IMG_1745492006739.jpg
FB_IMG_1745492010073.jpg
FB_IMG_1745492004081.jpg
 
MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI-

1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria.
2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Toleo No. 20 kama lilivyorekebishwa mwaka 2022 kinasema ni lazima mshtakiwa awepo Mahakamani na Mahakama hiyo ni ya wazi. Pia masharti ya kifungu cha 186 [1] kinasema Mahakama ni ya wazi na Umma utaruhusiwa. Tumesema ni KINYUME CHA SHERIA kwa Mahakama kuendeshwa kwa mtandao.
3.Mawakili wameomba Lissu apewe haki zake zote za kuonana na Mawakili wake pia Mawakili wameomba Mkuu wa Gereza la Ukonga aitwe na kutoa maelezo kwa nini Mawakili na Ndugu hawaruhusiwi kumuona Lissu freely.
4. Mawakili wamehoji Mahakama ni lini na kwa namna gani Mahakama iliamua yenyewe kwamba case iendeshwe kwa mtandao;ilimshirikisha nani na ilikaa na nani?
5. Mawakili wamehoji kwa nini Ndugu, jamaa na Marafiki wa Lissu wamepigwa, kukamatwa na kuwa harrased na Mapolisi; je,Mahakama imeshiriki kuzuia watu kinyume na sheria, au ni yenyewe imeomba msaada kwa Polisi?View attachment 3314085View attachment 3314086View attachment 3314087
Ila serikali ya Samia sasa inafanya mambo ya hovyo sana. Kulikuwa na haja gani ya kupiga na kuumiza watu namna hii na Lissu hajapelekwa mahakamani?
 
Hapa ni vijana na watz wote wanaojielewa kusimama pamoja barabarani, bila hivo tutaendelea tu kulalamika mitandaoni huku wenye nia thabiti ya mabadiliko wakiumia wenyewe.
Bila kuwa kama wakenya tusidanganyane hakuna mabadiliko yatakuja na uonevu hautaisha
 
Kiwepo kikund cha kuanzishs hili vuguvugu makundi ya WhatsApp ndo mazuri mnapeana ari
 
Shauri zenu. Mimi wala siwajali Niko zangu huku kwenye demokrasia nimening'iniza poumbou kwenye sofa studio apartment yangu kwasababu hata mkisaidiwa hamtaki.

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom