Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI-

1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria.
2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Toleo No. 20 kama lilivyorekebishwa mwaka 2022 kinasema ni lazima mshtakiwa awepo Mahakamani na Mahakama hiyo ni ya wazi. Pia masharti ya kifungu cha 186 [1] kinasema Mahakama ni ya wazi na Umma utaruhusiwa. Tumesema ni KINYUME CHA SHERIA kwa Mahakama kuendeshwa kwa mtandao.
3.Mawakili wameomba Lissu apewe haki zake zote za kuonana na Mawakili wake pia Mawakili wameomba Mkuu wa Gereza la Ukonga aitwe na kutoa maelezo kwa nini Mawakili na Ndugu hawaruhusiwi kumuona Lissu freely.
4. Mawakili wamehoji Mahakama ni lini na kwa namna gani Mahakama iliamua yenyewe kwamba case iendeshwe kwa mtandao;ilimshirikisha nani na ilikaa na nani?
5. Mawakili wamehoji kwa nini Ndugu, jamaa na Marafiki wa Lissu wamepigwa, kukamatwa na kuwa harrased na Mapolisi; je,Mahakama imeshiriki kuzuia watu kinyume na sheria, au ni yenyewe imeomba msaada kwa Polisi?
 
Polisi si wamesema wanawakata watu walionda kwa kuvunja amri zao. Inaelekea amri zao ni juu ya sheria labda
 
 

Attachments

  • IMG_1042.png
    508.7 KB · Views: 18
Soma chote
 

Attachments

  • IMG_1042.png
    508.7 KB · Views: 16
Ila wale Gen Z wa kenya waliamua kusimamia haki yao wenyewe, acha sisi tuendelee kungoja Mungu asimamie haki zetu.
 

Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Ila wale Gen Z wa kenya waliamua kusimamia haki yao wenyewe, acha sisi tuendelee kungoja Mungu asimamie haki zetu.
Kenya yote imejaa wamura. Si murswako
okasehemu kadogo tu ka huko Tarime na wengi wao wameoa au kuolewa na wasukuma, hivyo kuwastarabisha kwa kuwapunguza maugomvi ya kugechana..Sisi ni kitovu cha amani. Huwezi ukatuburuza kuvunja amani eti ili wewe upate ubunge auurais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…