Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

Vip kuhusu CAG na Spika kwa Tanzania?
Ndiyo, Tanzania ni nchi ya kipekee sana, hadi Spika anaondolewa madarakani na mtu mmoja tu!

Hii ni nchi, au ni mali ya mtu huyo mmoja?

Sasa ona tunavyohangaishwa na kiinchi kidogo tu, na hakuna yeyote anayestuka wala kusema chochote!

Hii sasa imefikia pabaya!
 
Hivi Ndugai alijiuzuru u-spika, au alilazimishwa kuachia ngazi?

Katika yote hayo uliyoyataja hapo juu, jipya linalokera zaidi ni kuifanya Zanzibar kuwa juu ya Tanzania, na hakuna yeyote anayehoji hili jambo la hovyo kabisa!
 
Swali langu lina mtego ndani yake naona umeshindwa kung'amua badala yake unaandika gazeti, pole
 
Hiyo movie imeanza na imesukwa. Atachomolewa kistaili.
 
Bibi amelikoroga, kama alikuwa anaongea tu kuchangamsha genge bila concrete evidence hapo ndio itajulikana. By the way, ina maana kweli Rais hakuona umuhimu wa kutengua uteuzi wake mpaka afundishwe na mawakili?.
Kwani kumtengua Ndugai alifundishwa na nani?
Pia ukiona jaji anakomaa ujue sio peke yake, kwa nini yeye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…