Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

Attachments

  • 8EDC1EDD-8FAD-414B-9EA5-EBB3D8E75691.jpeg
    33.9 KB · Views: 3
Ngojatuone mwisho wake. Rais atamuamuru jaji mkuu (mteule wa rais) awafutie uwakili.

Narudia tena, rais wa nchi hii kwa katiba hii ni kama Mungu. Atakufikia popote ulipo kwa njia yoyote.
 
Ngojatuone mwisho wake. Rais atamuamuru jaji mkuu (mteule wa rais) awafutie uwakili.

Narudia tena, rais wa nchi hii kwa katiba hii ni kama Mungu. Atakufikia popote ulipo kwa njia yoyote.
Kwa trend inavyoenda, sintoshangaa Samia aki activate lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana.
 
Tunamlaumu mamaako kuzaa boga kama wewe
 
Kwa trend inavyoenda, sintoshangaa Samia aki activate lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana.
Kabisa. Maana noana kama amoepagawa na kihamaki sana kufuatia maoni na lugha kali iliyopita na watoa maoni
 
Ipo kazi unajikuta umeangukia huko ila , sitamani mwanangu angukia huko bila kujali nitaheshim mawazo yake , but kazi zingine ni utumwa wa nafsi tu , Mungu wasaidie wanqngu waweze hamua maisha yaliyo sahii
 
Hasara za nini hiyo bandari siyo ya Bibi yako Acha watu waseme
 
Swali fikirishi kwanini bunge la awamu ya 5 linaitwa bunge la CCM japo limeendelea awamu ya 6, jibu lake ndiyo maana ni bunge ambalo haliwakilishi wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…