Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hakuna wasiwasi kama unapo kua you do not have qualifications & your begging for excuses.Mngekuwa hamna wasiwasi msingeenda Mahakamani. Hiyo panic ya kukimbilia Mahakama kuu inaonyesha wazi kuna kitu kinawanyima usemi nyie.
Kulinda taaluma hakuna faida? Hivi hao wa exemption wanaenda kuwa mahakimu unategemea watakua na uweledi kuamua kesi?Nimeshangaa hata mimi aisee.
Nchi hii kuna mambo lukuki ya kufuatilia ambayo yenye tija na kunufaisha jamii kwa ujumla kuliko kupoteza muda kuwaharibia watu maisha yao yarudi nyuma na wakati huo hakuna utakachofaidika nacho baada ya hao watu kuvuliwa cheo.
Naona wapo sawa kwa nini wengine wasote law school, halafu makada waje kupewa kimagumashiWasiwasi wao ni ushindani wa soko tu.
Kulinda taaluma hakuna faida? Hivi hao wa exemption wanaenda kuwa mahakimu unategemea watakua na uweledi kuamua kesi?
Na unaposema mambo lukuki, mbona kila siku mawakili huwa wanafungua haya mashauri ya kikatiba na kupinga sheria kandamizi kibao tu au sababu hazipewi media coverage kubwa basi ndio hazipo?
Imekuwa lopeshole mtu anamaliz llb ana mtu/connection anajaziwa ame pratciz as required kumb sio worseHii kesi itapigwa chini huko mahakama kuu. Kwa ufupi… swali itakalo jiuliza mahakama ni je, “uzoefu wa kazi Kwa vitendo” ni unapatikana law school pekee? Na je, Kwa wale walioupata huo uzoefu kwa mfano training contract katika makampuni ya kisheria nao pia walazimishwe kwenda law school ?
Sioni Kama mahakama kuu, itaweza kuwafutia uwakili.. sana sana, itarekebisha tu utaratibu wa kuwaandisha Kama Una kasoro.
huwez elewa kinachobishaniwa ndgiwe cheo au isiwe cheo wakishafutiwa nyinyi mlioshitaki mtanufaika na nini ili kufidia muda wenu mlioupoteza?
Ni huzuni!Naona wapo sawa kwa nini wengine wasote law school, halafu makada waje kupewa kimagumashi
naona ni dalili ya kuifubaza TLS kwa kuwapa makada na machawa u-lawyer ambao haustahili ni wazi kabisa wana target chaguzi za TLS na kuhakikisha nafasi ya urais wa TLS unakuwa kwa Chawa na Kada,
Watu kama mwabukusi hawatakiwi tena TLS.
Ni kipi hicho ambacho huwezi kukitaja?huwez elewa kinachobishaniwa ndg
Wameshafanikiwa kuyatokomeza?Na kama bado kwa nini msiongeze nguvu zenu huko?Au ndio kesi zote za kitaifa mnamuachia Kibatala na Madereka?Na unaposema mambo lukuki, mbona kila siku mawakili huwa wanafungua haya mashauri ya kikatiba na kupinga sheria kandamizi kibao tu au sababu hazipewi media coverage kubwa basi ndio hazipo?
Wakosome kama wenzao acha kutetea ujingaMwisho wangu wa kufikiria ndio mwanzo wa wewe kupaniki.
I’m just being realistic, shida yenu mkizidiwa kete mnaanza kusingizia watu hawajui kufikiria, kama una hoja yenye mantiki ungeitoa.
Uzoefu wa miaka kazini mahakamani ni zaidi ya darasa la Law School. Punguza kuwa mjinga mjinga.Wakosome kama wenzao acha kutetea ujinga
Wenzao walisoma kwa shida na tabu
Uzoefu wa miaka kazini mahakamani ni zaidi ya darasa la Law School. Punguza kuwa mjinga mjinga.
Uzoefu wa miaka kazini mahakamani ni zaidi ya darasa la Law School. Punguza kuwa mjinga mjinga.
Uzoefu ndo nini wakasome kama wenzaoUzoefu wa miaka kazini mahakamani ni zaidi ya darasa la Law School. Punguza kuwa mjinga mjinga.
Punguza kuwa mjinga nimekwambia, kwani shule ipo darasani tu?Uzoefu ndo nini wakasome kama wenzao
TZ hiyo exception itatumika kama loophole ya kuwapa uwakili watu wajinga kama Katambi. Naungana na Denis wakasome.Punguza kuwa mjinga nimekwambia, kwani shule ipo darasani tu?