Tetesi: Mawaziri 10 Kutemwa Baraza Jipya, hofu yatanda watu wakihaha kwa sangoma

Tetesi: Mawaziri 10 Kutemwa Baraza Jipya, hofu yatanda watu wakihaha kwa sangoma

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Habari Wadau.

Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..

Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..

Source:Raia Mwema 👇
mwanahalisi_digital_1671619134215667.jpg
 
Kazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
kwa hiyo mkuu ukipata teuzi ya ukuu wa wilaya,mkoa au ya uwaziri au Private Sector inayokupa kuanzia 2M na malupulupu mengineyo utaachana nayo utabaki na ualimu kisa haitakuwa nawe hadi uzeeni ???hizi ndizo story za pindi tunasoma tunaulizwa akitokea mtu akakupa 100M uache shule utakubali au utakataa..hapo upo la darasa la 5B ada 1,200/= na bado mtu unafukuzwa ada.
 
Back
Top Bottom