kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Aanzie na mahali penye "nishati".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapeane mikataba ya kazi na kuwekeana malengo, mtu aondolewe kwa kushidwa kutimiza malengo specific.Sasa wanataka tuweke security kwenye kazi ya uwaziri, mkuu wa mkoa, wilaya seriously
Hizo ni position anazoteuwa rais chini ya chama.
Haiwezi tokea,, PM ni mchapakazi,, hakuna wa kumu outpeform yuleAlitakiwa avunje baraza na kuteua kiranja mkuu mpya
Hao Mawaziri wapya anawatoa nje ya mfumo wa CCM?maana CCM ni sawa na gari bovu injini,sasa ukitaka gari yenye injini mbovu ikimbie,unabadilisha injini,sasa kinachofanyika sasa badala ya kuweka injini mpya tunabadilisha tairi[emoji1787].Habari Wadau.
Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..
Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..
Source:Raia Mwema [emoji116]View attachment 2453672
Nilipo andika walifuta yote sawa waliofutaHabari Wadau.
Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..
Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..
Source:Raia Mwema 👇View attachment 2453672
Nakala kwa mpwayungu villageKazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
Naomba wafikishie taarifa kuwa POLITICALLY muungu anayehusika na mambo hayo ktk nchi AMEUWAWA.Habari Wadau.
Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..
Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..
Source:Raia Mwema 👇View attachment 2453672
Tulisoma kabla hawajafuta.Nilipo andika walifuta yote sawa waliofuta
Alafu asogee kwenye "fedha"Aanzie na mahali penye "nishati".
Ramli chonganishi 😂 pale kwenye bundle vp mkuu?Aanzie na mahali penye "nishati".
Gazeti la hovyo kabisa siku hizi. Utafikiri waandishi wa magazeri ya Musiba walihamia huko! Ahahahahah!!!Kumbe chanzo Raia Mwema...
Kweli kabisa !!Haiwezi tokea,, PM ni mchapakazi,, hakuna wa kumu outpeform yule