macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Watanzia wengi bado kabisa vichwa vyao ni vigumu. Nadhani ni uvivu wa kusoma ndiyo maana wanakuwa finyu kuelewa mambo. Nafasi ya kuteuliwa inaweza kutenguliwa muda wowote na siyo adhabu kutengua.Sasa wanataka tuweke security kwenye kazi ya uwaziri, mkuu wa mkoa, wilaya seriously
Hizo ni position anazoteuwa rais chini ya chama.