Tetesi: Mawaziri 10 Kutemwa Baraza Jipya, hofu yatanda watu wakihaha kwa sangoma

Tetesi: Mawaziri 10 Kutemwa Baraza Jipya, hofu yatanda watu wakihaha kwa sangoma

Habari Wadau.

Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..

Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..

Source:Raia Mwema 👇View attachment 2453672
Unachukua akili yako unamkabidhi Kubenea- mkuu hata ukijificha nyuma ya TETESI unamaliza mwaka vibaya
 
Kazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
Magufuli na Majawaliwa hawa wote walikuwa walimu.

Mafao ya mbunge kwa miaka mitano tu ni sawa na mafao ya walimu watano waliofanya kazi ya ualimu kwa miaka 40, hapo sijagusa mshahara wa mbunge na privileged nyingine na mfuko wa jimbo.
 
Raia Mwema siku hizi kama gazeti la KIU na IJUMAA za enzi zile. Uzushi tu with no substance
 
Ila Zitto siyo binaadamu, hivyo huo udini wake utamfikisha wapi?
 
wasipotoka hawa basi baraza lote ni ubatili mtupu; 😛
1. mwigulu
2. nape
3. makamba
4. kikwete
5. mavunde
6.
 
Na pale mambo ya ndani napo afyeke, kuna nyasi
Masauni ni wa nyumbani yupo kwenye baraza mpaka 2025.

Kwenye serikali hii usitegemee Mzanzibar kuwekwa benchi, tegemea Wazanzibar kuongezwa zaidi ili tulete sura ya muungano wa kweli ni nusu kwa nusu.
 
Prof. Mkenda
Ukimtowa Profesa Mkenda lazima wachaga uwape waziri mwingine.

Na mama akitaka tumuone yuko serious kweli amuondowe Mwigulu Nchemba wizara ya fedha amuweke Dr Charles Kimei.

Kumuacha Mwigulu Nchemba wizara ya Fedha na January Makamba kwenye nishati kutatupa jibu moja tu kwamba mama naye ni sehemu ya genge la wahuni.
 
O
Ukimtowa Profesa Mkenda lazima wachaga uwape waziri mwingine.

Na mama akitaka tumuone yuko serious kweli amuondowe Mwigulu Nchemba wizara ya fedha amuweke Dr Charles Kimei.

Kumuacha Mwigulu Nchemba wizara ya Fedha na January Makamba kwenye nishati kutatupa jibu moja tu kwamba mama naye ni sehemu ya genge la wahuni.
Dr Kimei, mwizi, jambazi, kibaka, muhuni, laghai, mpenda madaraka etc, hafai kabisa, ana faili chafu mno. Yaani mtu umeachia madaraka CRDB lakini bado anafuatilia kumtoa Nsekela hafai kabisa.
 
Kama Kassimu mtu aliyeshindwa majukumu ya uwaziri mkuu na kugeuka nyapara wa kuangalia kama Simtank imekuwa installed au la ataendelea kuwa waziri mkuu basi hamna chochote hapo ni cosmetic change!.

Apige chini Kassim alete Waziri mkuu wa viwango, siyo waziri mkuu wa Jiwe.
 
Back
Top Bottom