The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Tofautisha Kati ya taaluma na uongozi au usimamizi.Kazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
Majaliwa yupo sana tu majizi nyieAlitakiwa avunje baraza na kuteua kiranja mkuu mpya
Sasa wanataka tuweke security kwenye kazi ya uwaziri, mkuu wa mkoa, wilaya seriouslyMambo ya kutishana sio poa kabisa, ndio maana wanakuwa wezi, kazi haina security unategemea nini?
kwa hiyo mkuu ukipata teuzi ya ukuu wa wilaya,mkoa au ya uwaziri au Private Sector inayokupa kuanzia 2M na malupulupu mengineyo utaachana nayo utabaki na ualimu kisa haitakuwa nawe hadi uzeeni ???hizi ndizo story za pindi tunasoma tunaulizwa akitokea mtu akakupa 100M uache shule utakubali au utakataa..hapo upo la darasa la 5B ada 1,200/= na bado mtu unafukuzwa ada.Kazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
Una utani na PM wewe hujaona akijizungusha huko na huko ππAlitakiwa avunje baraza na kuteua kiranja mkuu mpya
watu wanaandaliwa kisaikolojia!Hivi Watu huwa wanaamini kabisa hizi habari za magazeti na vyombo vingine?