Tetesi: Mawaziri 10 Kutemwa Baraza Jipya, hofu yatanda watu wakihaha kwa sangoma

Sasa wanataka tuweke security kwenye kazi ya uwaziri, mkuu wa mkoa, wilaya seriously

Hizo ni position anazoteuwa rais chini ya chama.
Wapeane mikataba ya kazi na kuwekeana malengo, mtu aondolewe kwa kushidwa kutimiza malengo specific.

Hizi panga pangua zinaonesha shida inaanzia juu. Juu hakuna vision wala mission. All they think about is 2025.
 
Hao Mawaziri wapya anawatoa nje ya mfumo wa CCM?maana CCM ni sawa na gari bovu injini,sasa ukitaka gari yenye injini mbovu ikimbie,unabadilisha injini,sasa kinachofanyika sasa badala ya kuweka injini mpya tunabadilisha tairi[emoji1787].
Kama tunataka tuende mbele inatakiwa Rais awe na uwanja mpana wa kuteua,asilazimishwe kuteua Mawaziri kutoka Bungeni tu,aende mpaka nje ya Bunge.Hawa wakina Mwigulu,Biteko na Jafo na PhD zao za mchongo hatutafika kwa kweli!
 
Nilipo andika walifuta yote sawa waliofuta
 
Naomba wafikishie taarifa kuwa POLITICALLY muungu anayehusika na mambo hayo ktk nchi AMEUWAWA.

Waliofutwa wamefutwa, hayupo sangoma wa kuwanasua😠😠

Masuala ya Siasa ktk Nchi ktk Ulimwengu wa Roho yanafunguka kupitia Watumishi wa Mungu pekee.

Umebarikiwa sana Eee Tanzania Nchi yangu nzuri niipendayo.

Aaaamen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…