Unachukua akili yako unamkabidhi Kubenea- mkuu hata ukijificha nyuma ya TETESI unamaliza mwaka vibayaHabari Wadau.
Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..
Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..
Source:Raia Mwema 👇View attachment 2453672
Ni habari za kweli, stay tune.Hivi Watu huwa wanaamini kabisa hizi habari za magazeti na vyombo vingine?
Magufuli na Majawaliwa hawa wote walikuwa walimu.Kazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
Na pale mambo ya ndani napo afyeke, kuna nyasiAlafu asogee kwenye "fedha"
Masauni ni wa nyumbani yupo kwenye baraza mpaka 2025.Na pale mambo ya ndani napo afyeke, kuna nyasi
Prof. Mkendawasipotoka hawa basi baraza lote ni ubatili mtupu; 😛
1. mwigulu
2. nape
3. makamba
4. kikwete
5. mavunde
6.
Ukimtowa Profesa Mkenda lazima wachaga uwape waziri mwingine.Prof. Mkenda
Dr Kimei, mwizi, jambazi, kibaka, muhuni, laghai, mpenda madaraka etc, hafai kabisa, ana faili chafu mno. Yaani mtu umeachia madaraka CRDB lakini bado anafuatilia kumtoa Nsekela hafai kabisa.Ukimtowa Profesa Mkenda lazima wachaga uwape waziri mwingine.
Na mama akitaka tumuone yuko serious kweli amuondowe Mwigulu Nchemba wizara ya fedha amuweke Dr Charles Kimei.
Kumuacha Mwigulu Nchemba wizara ya Fedha na January Makamba kwenye nishati kutatupa jibu moja tu kwamba mama naye ni sehemu ya genge la wahuni.
Mkuu, mpwayungu village njoo utie neno hapaKazi nzuri ni kazi ya ualimu (na ajira nyingine za serikali) tu. Japo kipato kidogo, ila inatoa uhakika wa maisha tangu mtu anaanza kazi mpaka anastaafu!
Sijaona uchapakazi wake.Wizara na halimashauri zimelala,watu wanapiga tu,aondoke.Haiwezi tokea,, PM ni mchapakazi,, hakuna wa kumu outpeform yule