macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Watanzia wengi bado kabisa vichwa vyao ni vigumu. Nadhani ni uvivu wa kusoma ndiyo maana wanakuwa finyu kuelewa mambo. Nafasi ya kuteuliwa inaweza kutenguliwa muda wowote na siyo adhabu kutengua.Sasa wanataka tuweke security kwenye kazi ya uwaziri, mkuu wa mkoa, wilaya seriously
Hizo ni position anazoteuwa rais chini ya chama.
Gutter Politics, alichokifanya Dr Kimei CRDB kila mwenye akili anafahamu.O
Dr Kimei, mwizi, jambazi, kibaka, muhuni, laghai, mpenda madara etc, hafai kabisa, ana faili chafu mno. Yaani mtu umeachia madaraka CRDB lakini bado anafuatilia kumtoa Nsekela hafai kabisa.
Huku ni kuchafuana,tuambie ubaya wake halisi,bado hujasema lolote.O
Dr Kimei, mwizi, jambazi, kibaka, muhuni, laghai, mpenda madara etc, hafai kabisa, ana faili chafu mno. Yaani mtu umeachia madaraka CRDB lakini bado anafuatilia kumtoa Nsekela hafai kabisa.
Mleta mada ni kichaa."Baraza jipya la mawaziri", manake baraza la mawaziri litavunjwa/limevunjwa?
Msimu wa waganga kupiga hela umefikaHabari Wadau.
Kuna tetesi kwamba Mawaziri 10 watapigwa chini kwenye Baraza Jipya la Mawaziri linalotarajiwa kutangazwa wakati wowote na mh.Rais Kama alivyodokeza kwenye Mkutano wa chama..
Kwa Mujibu wa gazeti la Raia Mwema,Vigogo wanahaha na kupishana kwa Sangoma ili "kumroga" Mkuu wa Mamlaka ya Uteuzi Kuhakikisha wanajihakikishia nafasi..
Source:Raia Mwema [emoji116]View attachment 2453672
KumbeNi wakati sasa wa kuwaproon masalia ya yule dhalim mporipori
Mwizi, mtoa rushwa etc. Hafai kabisa. Nina uhakika hakuna mamlaka itakayompatia kimei uongozi serikalini kwa sababu ni mwizi, jambazi, mtoa rushwa na mla rushwa mkubwa. Hana tofauti na akina Mafuru wezi wezi na wala rushwaHuku ni kuchafuana,tuambie ubaya wake halisi,bado hujasema lolote.
Kumbuka kwamba Kimei bado ni resource ya CRDB,kwa hiyo ana haki ya kuhakikisha CRDB inafanikiwa.
Wabongo ni wezi sana,, pm anajitahidi sana kupambanašSijaona uchapakazi wake.Wizara na halimashauri zimelala,watu wanapiga tu,aondoke.
Duu jamani [emoji40][emoji40][emoji40]jinsi litakavo badilishwa malaya wa kimboka atabadilishwa na malaya wa tandale,mwizi wa mabagara atabadilishwa na tapeli wa chang'ombe
Yule kaka si aliwahi mwagiwa tindikali au nimechanganya madesa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unachukua akili yako unamkabidhi Kubenea- mkuu hata ukijificha nyuma ya TETESI unamaliza mwaka vibaya
Hilo si lakusema kwenye maswala maslahi yao weee huwa wanaungana hakuna cha wapinzani wala chama cha mambuzi wote kapu mojaMagufuli na Majawaliwa hawa wote walikuwa walimu.
Mafao ya mbunge kwa miaka mitano tu ni sawa na mafao ya walimu watano waliofanya kazi ya ualimu kwa miaka 40, hapo sijagusa mshahara wa mbunge na privileged nyingine na mfuko wa jimbo.
Mwee, kila jambo na wakati wake.Msimu wa waganga kupiga hela umefika
Yawezekana Dr Kimei alikula mzigo na ile Vitara aliyokuahidi kukununulia akakutolea mbavuni, ndio siri ya povu lote hili.Mwizi, mtoa rushwa etc. Hafai kabisa. Nina uhakika hakuna mamlaka itakayompatia kimei uongozi serikalini kwa sababu ni mwizi, jambazi, mtoa rushwa na mla rushwa mkubwa. Hana tofauti na akina Mafuru wezi wezi na wala rushwa