much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Na mbunge kikatiba inatakiwa awe na sifa zipi?Sifa ya Mbunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mbunge kikatiba inatakiwa awe na sifa zipi?Sifa ya Mbunge.
Wananchi masikini wa nchi hii ndio watanzania pekee waliobakiaOh, kumbe tuna wamarekani wengi? Mi nilijua mbowe na lissu tu
Ukifanya hivyo kuna kauli zao huwa wanazitsfuta mara wanalipa kisasi sijui niniWana Bodi,
Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi.
1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama aliwahi kuajiriwa Serikalini kama mtumishi wa umma ninachosikia ni kwamba aliwahi kuwa BOT kwa muda mfupi sana baadaye akatumbukia kwenye siasa sina uhakika na uzoefu wake kwenye eneo la utumishi wa umma na sasa ni Waziri wa Fedha.
2. Januari Makamba, yeye historia yake siijui imekaaje na sijui hata kama aliwahi kuajiriwa kama Mtumishi wa Serikali zaidi niliwahi kusikia alifanya kazi kwenye kambi ya wakimbizi kwenye Shirika la UNHCR na baadae akatumbukia kwenye siasa na kuwa msaidizi wa Rais na sasa Waziri. Sijui uzoefu wake katika utumishi wa umma na ufahamu wake wa kutosha kuhusu mambo ya Serikali. sasa ni Waziri wa Nishati.
3. Hussein Bashe, yeye hata historia yake ya haieleweki zaidi niliwahi kusikia alikuwa akifanya kazi kwenye gazeti la Mtanzania na baadaye akatumbukia kwenye siasa na sasa ni Waziri sijui hata aliwahi hata kuajiriwa serikalini na kujua mambo ya Serikali yanavyokwenda. Sasa ni Waziri wa Kilimo.
4. Nape Nauye, yeye historia yake hata ya elimu haijulikani lakini baadaye akatumbukia kwenye siasa mara akapewa Uenezi wa CCM mara DC na sasa Waziri wa Wizara kubwa ya TEHAMA sijui kama aliwahi kuwa mtumishi wa Serikali na kufahamu mambo ya Serikali.
5. Prof. Makame Mbarawa 'Mzee wa Mkataba wa Bandari' yeye sijui hata historia yake ya elimu na hata sijui aliwahi kufanya kazi wapi zaidi tulimuona kwenye siasa kwa kuteuliwa kuwa Waziri na Jakaya na sasa ni Waziri wa mambo ya Reli, Bandari na ANGA sijui hata kama aliwahi kuwa mtumishi wa Serikali.
Na ndiyo maana Mawaziri hawa kutokana na kutokuwa na ufahamu wa kutosha wa utumishi wa Serikali na namna ya usimamizi wa Fedha za Umma ndiyo sababu wizara zao zinakubwa na kashfa lukuki kila siku kuhusu matumizi ya fedha za Umma.
Ninachokiona mimi Siku Rais Samia Suluhu Hassan atakapoondoka madarakani ambaye ndiye wanayemtegemea kama Kinga yao hao Mawaziri 5 waitashia kufungwa gerezani kwa makosa makubwa waliyofanya wakiwa kwenye nafasi zao za uwaziri. vinginevyo labda waamue kukimbia nchi na kuishi ughaibuni.
Taarifa zilizopo wengine wameshaanza kuhamishia familia zao kwenye makazi yao mapya huko Dubai.
View attachment 2718757
Mwigulu Nchemba
View attachment 2718758
Januari Makamba
View attachment 2718760
Hussein Bashe
View attachment 2718762
Nape Nauye
View attachment 2718764
Makame Mbarawa
KKKNa mbunge kikatiba inatakiwa awe na sifa zipi?
TanganyikaMagereza ya nchi gani labda?
Hakuna Katiba ya TanganyikaTanganyika
wa kuwafunga ni nani? si kwa nchi hii.Wana Bodi,

Wewe ni mzalendo umeelewa vizuri sio hao wanaojadili kiuchawamtoa mada yupo sahihi Kuna sheria za matumizi ya fedha za umma, Mwigulu anaamka na kutoa tenda ya matrion Kwa single source wakati single source Ina limit zake, makamba kutoa tenda bila ushindani sawa na Mbarawa hiyo ni mifano michache.
PPRA, takukuru, CAG na usalama wa Taifa ripoti zote wanazo ila wanasubiri rais ambaye ni mtekelezaji wazikabidhi kwake
Itakuja tu. Penda usipendeHakuna Katiba ya Tanganyika
Mtu anapofikia level ya kuitwa Professor ni kwamba amekuwa mbobezi kwenye kufundisha hususani vyuo vikuu vya umma. Ni safari ndefu sana mkuu.Wana Bodi,
Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi.
1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama aliwahi kuajiriwa Serikalini kama mtumishi wa umma ninachosikia ni kwamba aliwahi kuwa BOT kwa muda mfupi sana baadaye akatumbukia kwenye siasa sina uhakika na uzoefu wake kwenye eneo la utumishi wa umma na sasa ni Waziri wa Fedha.
2. Januari Makamba, yeye historia yake siijui imekaaje na sijui hata kama aliwahi kuajiriwa kama Mtumishi wa Serikali zaidi niliwahi kusikia alifanya kazi kwenye kambi ya wakimbizi kwenye Shirika la UNHCR na baadae akatumbukia kwenye siasa na kuwa msaidizi wa Rais na sasa Waziri. Sijui uzoefu wake katika utumishi wa umma na ufahamu wake wa kutosha kuhusu mambo ya Serikali. sasa ni Waziri wa Nishati.
3. Hussein Bashe, yeye hata historia yake ya haieleweki zaidi niliwahi kusikia alikuwa akifanya kazi kwenye gazeti la Mtanzania na baadaye akatumbukia kwenye siasa na sasa ni Waziri sijui hata aliwahi hata kuajiriwa serikalini na kujua mambo ya Serikali yanavyokwenda. Sasa ni Waziri wa Kilimo.
4. Nape Nauye, yeye historia yake hata ya elimu haijulikani lakini baadaye akatumbukia kwenye siasa mara akapewa Uenezi wa CCM mara DC na sasa Waziri wa Wizara kubwa ya TEHAMA sijui kama aliwahi kuwa mtumishi wa Serikali na kufahamu mambo ya Serikali.
5. Prof. Makame Mbarawa 'Mzee wa Mkataba wa Bandari' yeye sijui hata historia yake ya elimu na hata sijui aliwahi kufanya kazi wapi zaidi tulimuona kwenye siasa kwa kuteuliwa kuwa Waziri na Jakaya na sasa ni Waziri wa mambo ya Reli, Bandari na ANGA sijui hata kama aliwahi kuwa mtumishi wa Serikali.
Na ndiyo maana Mawaziri hawa kutokana na kutokuwa na ufahamu wa kutosha wa utumishi wa Serikali na namna ya usimamizi wa Fedha za Umma ndiyo sababu wizara zao zinakubwa na kashfa lukuki kila siku kuhusu matumizi ya fedha za Umma.
Ninachokiona mimi Siku Rais Samia Suluhu Hassan atakapoondoka madarakani ambaye ndiye wanayemtegemea kama Kinga yao hao Mawaziri 5 waitashia kufungwa gerezani kwa makosa makubwa waliyofanya wakiwa kwenye nafasi zao za uwaziri. vinginevyo labda waamue kukimbia nchi na kuishi ughaibuni.
Taarifa zilizopo wengine wameshaanza kuhamishia familia zao kwenye makazi yao mapya huko Dubai.
View attachment 2718757
Mwigulu Nchemba
View attachment 2718758
Januari Makamba
View attachment 2718760
Hussein Bashe
View attachment 2718762
Nape Nauye
View attachment 2718764
Makame Mbarawa
Chuki binafsi,Sasa maisha yalivyo wewe ndio unaweza ingia huko na wao wakajifia raha mstarehe.Wana Bodi,

Kabisa aisee! Nilishangaa hata lema alipotishwa tu kidogo nae akakimbilia kwao nje. Hakika hapa tupo sisi tu.Wananchi masikini wa nchi hii ndio watanzania pekee waliobakia
Hawawezi kwani magereza yao bado serikali haijapata kiwanja cha kuyajenga.Wana Bodi,
Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi.
1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama aliwahi kuajiriwa Serikalini kama mtumishi wa umma ninachosikia ni kwamba aliwahi kuwa BOT kwa muda mfupi sana baadaye akatumbukia kwenye siasa sina uhakika na uzoefu wake kwenye eneo la utumishi wa umma na sasa ni Waziri wa Fedha.
2. Januari Makamba, yeye historia yake siijui imekaaje na sijui hata kama aliwahi kuajiriwa kama Mtumishi wa Serikali zaidi niliwahi kusikia alifanya kazi kwenye kambi ya wakimbizi kwenye Shirika la UNHCR na baadae akatumbukia kwenye siasa na kuwa msaidizi wa Rais na sasa Waziri. Sijui uzoefu wake katika utumishi wa umma na ufahamu wake wa kutosha kuhusu mambo ya Serikali. sasa ni Waziri wa Nishati.
3. Hussein Bashe, yeye hata historia yake ya haieleweki zaidi niliwahi kusikia alikuwa akifanya kazi kwenye gazeti la Mtanzania na baadaye akatumbukia kwenye siasa na sasa ni Waziri sijui hata aliwahi hata kuajiriwa serikalini na kujua mambo ya Serikali yanavyokwenda. Sasa ni Waziri wa Kilimo.
4. Nape Nauye, yeye historia yake hata ya elimu haijulikani lakini baadaye akatumbukia kwenye siasa mara akapewa Uenezi wa CCM mara DC na sasa Waziri wa Wizara kubwa ya TEHAMA sijui kama aliwahi kuwa mtumishi wa Serikali na kufahamu mambo ya Serikali.
5. Prof. Makame Mbarawa 'Mzee wa Mkataba wa Bandari' yeye sijui hata historia yake ya elimu na hata sijui aliwahi kufanya kazi wapi zaidi tulimuona kwenye siasa kwa kuteuliwa kuwa Waziri na Jakaya na sasa ni Waziri wa mambo ya Reli, Bandari na ANGA sijui hata kama aliwahi kuwa mtumishi wa Serikali.
Na ndiyo maana Mawaziri hawa kutokana na kutokuwa na ufahamu wa kutosha wa utumishi wa Serikali na namna ya usimamizi wa Fedha za Umma ndiyo sababu wizara zao zinakubwa na kashfa lukuki kila siku kuhusu matumizi ya fedha za Umma.
Ninachokiona mimi Siku Rais Samia Suluhu Hassan atakapoondoka madarakani ambaye ndiye wanayemtegemea kama Kinga yao hao Mawaziri 5 waitashia kufungwa gerezani kwa makosa makubwa waliyofanya wakiwa kwenye nafasi zao za uwaziri. vinginevyo labda waamue kukimbia nchi na kuishi ughaibuni.
Taarifa zilizopo wengine wameshaanza kuhamishia familia zao kwenye makazi yao mapya huko Dubai.
View attachment 2718757
Mwigulu Nchemba
View attachment 2718758
Januari Makamba
View attachment 2718760
Hussein Bashe
View attachment 2718762
Nape Nauye
View attachment 2718764
Makame Mbarawa
Itakuja Serikali itakayowaweka gerezani labda hao waliokimbilia Dubai ndiyo wanaweza kupona ila watafuatwa huko huko umesahau Serikali ya awamu ya tano.Hawawezi kwani magereza yao bado serikali haijapata kiwanja cha kuyajenga.
Kujua kusoma na kuandika😂😂😂Kwani kikatiba waziri anatakiwa kuwa na sifa zipi?