Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

Ukifanya hivyo kuna kauli zao huwa wanazitsfuta mara wanalipa kisasi sijui nini
 
Mwenye CV zao utumishi ndani ya Serikali hao Mawaziri 5 atupatie nasi tupate uelewa.
 
Sijui kama hii ni ndoto au maono lakini tukirudi kwenye ukweli hawa uliotaja wana influence kubwa(kama si wao basi wazazi wao)kwenye chama cha kijani.Sasa hili liwe kweli labda kiongozi atakayeingia awe ni chama tofauti na CCM au siku jeshi likiamka usingizini tofauti na hapo hii itabaki kuwa ndoto tena ile ya abunwasi
 
wa kuwafunga ni nani? si kwa nchi hii.
 
mtoa mada yupo sahihi Kuna sheria za matumizi ya fedha za umma, Mwigulu anaamka na kutoa tenda ya matrion Kwa single source wakati single source Ina limit zake, makamba kutoa tenda bila ushindani sawa na Mbarawa hiyo ni mifano michache.
PPRA, takukuru, CAG na usalama wa Taifa ripoti zote wanazo ila wanasubiri rais ambaye ni mtekelezaji wazikabidhi kwake
 
Wewe ni mzalendo umeelewa vizuri sio hao wanaojadili kiuchawa
 
Mtu anapofikia level ya kuitwa Professor ni kwamba amekuwa mbobezi kwenye kufundisha hususani vyuo vikuu vya umma. Ni safari ndefu sana mkuu.

Hao wengine mie sijui ila Mbarawa lazima amepitia utumishi wa umma kwani huwezi kuwa prof bila kuzalisha wanazuoni.

Kosa ni kwamba, profesa si level ya kumpa uongozi maana yeye amebobea kwenye utawala yaani mifumo na menejiment. Uongozi ni kipawa ambacho kinahitaji weledi, usomi kidogo, hekima na busara.

Ni maprof wachache sana wana hivyo vitu hususan hekima na busara
 
Chuki binafsi,Sasa maisha yalivyo wewe ndio unaweza ingia huko na wao wakajifia raha mstarehe.

Mfano ni Slaa vs Lisu kupigwa Lisasi.
 
Hawawezi kwani magereza yao bado serikali haijapata kiwanja cha kuyajenga.
 
Hawawezi kwani magereza yao bado serikali haijapata kiwanja cha kuyajenga.
Itakuja Serikali itakayowaweka gerezani labda hao waliokimbilia Dubai ndiyo wanaweza kupona ila watafuatwa huko huko umesahau Serikali ya awamu ya tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…