Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

No. 1 na 2 kusema kweli wanafanya ufisadi ktk miradi mikubwa na mingi sana. Wala hawawezi kuchomoka kwenda magerezni kutapokuwapo na utawala BORA kwani wana ukwasi wa kutisha kwa sasa japo "wameufichaficha" ILA unajulikana!
ILA siku zaja kila jiwe litageuzwa
 
Sijui zimekua nyingi ni kama unabahatisha
 
Ukiondoa mbarawa wote wanajidai wajuzi sana wa mambo wakati vilaza tu.
 
Hata kama ingekua kuna makosa but hakuna utaratib huo kwa mfumo uliopo, hakuna wa kuchukua hatua hizo.. Never ever!!!
 

Huyo mtu unaetaka kwanza apitie utumishi serikalini kabla ya kuwa Waziri mpaka afikie hiyo hatua ni miaka tayari 10-15-20 na ikifika wakati wa kuwa Waziri tayari muda na mazingira sio rafiki tena kwake na hata muenendo wa mambo tayari hauendani na upeo wake!!

Na ndio wasababishaji na wakandarasi wa ukiritimba ulioshamiri katika utumishi wa ummah kisa ana miaka mingi ofisini!
 


Wewe tangu kujitambua kwako umepigia kura marais wangapi? Ni nani kati yao kaifata na kaisimamia hiyo sheria?


Rais ni mtumishi wa Ummah ama Serikali?

Mipaka ya ummah na serikali iko wapi na inalindwa na nani?
 
Kwenye uzi wako namba uko sahihi kuhusu kundi la hao wahuni. Lakini huko CCM hao ndio wanaonekana wa maana. Tuje huko kwenye utumishi wa umma ambako unataka kutuonyesha ndio tanuru la kupika viongozi sahihi, ama sehemu sahihi ya kupatia viongozi. Kwakweli huko hakuna ufanisi wowote wa maana, bali kumejaa wapiga porojo, wavivu, wezi na waongo wa kutupwa. Sana sana mtu akipita huko anakuwa mkomovu wa ukiritimba wa serikali, na sio ubora kama unavyotaka tuone.
 
Kweli wajinga mnazidi kuwa wengi hivi ni lazima uwe mtumishi ndo uwe mwanasiasa?
Hapana si lazima uwe mtumishi wa serikali lakini lazima ujue serikali ni nini, inafanya kazi kwa taratibu zipi na miiko ya utendaji kwenye taasisi za umma. Sehemu hiyo siyo mahala pa biashara!!
 
Hapana si lazima uwe mtumishi wa serikali lakini lazima ujue serikali ni nini, inafanya kazi kwa taratibu zipi na miiko ya utendaji kwenye taasisi za umma. Sehemu hiyo siyo mahala pa biashara!!
Kwaiyo ili ujue hiyo miiko lazima uwe mtumishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…