Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

PhD nyingi za wanasiasa ni michongo mitupu, hapo ma supervisor wa (wanasiasa) ilibidi wajiongeze kwa kuwaandikia hizo thesis kwa lengo la kupata uteuzi.
Umemaliza mkuu[emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Halafu unakuta kuna lipumbavu flani linatetea hio PhD uchwara[emoji34][emoji34]
 
We rukaruka kama title imevuja tutapata hadi book zima tulinganishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We rukaruka kama title imevuja tutapata hadi book zima tulinganishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalinganishe data hazitafanana na quotation hazitafanana yule ka collect za Kenya Jafo za Tanzania mfanano utatoka wapi?
 
Ndio maana mpaka wanafunzi wanakalia mawe, tatizo la msingi lilianzia humu.
 
Kalinganishe data hazitafanana na quotation hazitafanana yule ka collect za Kenya Jafo za Tanzania mfanano utatoka wapi?
Plagiarism inaanzia kwenye title, hata kabla ya contents. Katika hali ya kawaida, alipaswa arudishwe kuanzia hatua ya proposal. Kwa mfanano wa kwenye title nina wasiwasi originality ya hii kazi haivuki 10%.
 
Kalinganishe data hazitafanana na quotation hazitafanana yule ka collect za Kenya Jafo za Tanzania mfanano utatoka wapi?
Jamaa yako ka-edit hakuna data alizokusanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo prof. alikua anafundisha Chemistry ipi?Themodynamics kama ya Dr. Mkayula,Au Stereo chemistry ya Dr. Mgani Quntino???
Huyo nilimsikia tu, sikusoma hayo makitu.
Mimi nilikuwa mteja wa akina Prof Omari na Dr Chachage
 
Huu sasa ndio u-snitch kabisa! Hizi mbona ni studies mbili tofauti zenye uwezekano wa kufanana variables chache tu? Study populations ni tofauti. Respondents ni tofauti. Hata research questions na methodology lazima ziwe tofauti, kwa kutazama title tu. Daudi Biriye amechunguza hizo factors katika wilaya moja nchini Kenya, wakati Dr Jafo amechunguza "mediating role of management" katika kushughulikia hizo factors kwa Tanzania nzima, na huenda hata factors zenyewe hazifanani.
Acheni wivu jamani.
 
Supervisor wa JPM kwenye PhD alikuwa Prof Joseph Buchweshaija. Huyo Akwilapo unayemtaja alihusikaje?
 
Selemani Jaffo na kete ya Urais wa nchi 2030 kama CCM itafanikiwa kuzima vuguvugu la katiba hadi wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…