Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

PhD nyingi za wanasiasa ni michongo mitupu, hapo ma supervisor wa (wanasiasa) ilibidi wajiongeze kwa kuwaandikia hizo thesis kwa lengo la kupata uteuzi.
Umemaliza mkuu[emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Hiyo ni PhD nyingine feki kwa watanzania! Nilikuwa pale UDSM Mlimani Campus tena kwenye Department of Chemistry wakati Magufuli “anafanya PhD” yake pale wakati huo akiwa waziri wa ujenzi. Dr. Akwilapo alikuwa lecturer wangu wa organic chemistry na ndiye aliyehusika na hiyo “PhD” ya JPM hadi ikifanikiwa. Leo hii Dr. Akwilapo ni katibu mkuu wizara ya elimu na mimi na wenzangu tuliokuwepo UDSM enzi hizo tunajua kwanini huyu doctor wa chemistry alipewa ukatibu mkuu. Seleman Jaffo ana PhD ???!!!!….!***! Najua imewezekana vipi. Kila la kheri watanzania.
Halafu unakuta kuna lipumbavu flani linatetea hio PhD uchwara[emoji34][emoji34]
 
Garissa na Tanzania wapi na wapi case kufanana sio hoja data zitakuwa tofauti kabisa Jafo zake za Tanzania huyo zake za Kenya huwezi kusema Ni copy and paste mfano mmoja akifanya case study ya Covid 19 ujerumani na mwingine akafanya case study ya Covid 19 Tanzania huwezi sema wa Tanzania ka copy and paste case study ya ujerumani .Ni case tofauti zenye Takwimu tofauti
We rukaruka kama title imevuja tutapata hadi book zima tulinganishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We rukaruka kama title imevuja tutapata hadi book zima tulinganishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalinganishe data hazitafanana na quotation hazitafanana yule ka collect za Kenya Jafo za Tanzania mfanano utatoka wapi?
 
Wahaya na wachaga hamjawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wenu Pwani imetoa maraisi watatu Mzee Mwinyi Hana hata digrii ana Diploma tu , pia Raisi wa Zanzibar katoka mkuranga Pwani .Pwani ikatoa Raisi Kikwete ana digrii moja tu wakati wachaga na wahaya mna midigrii mingi weeee ambayo mwisho wa siku haizalishi waziri mkuu Wala raisi mnaishia tu kuongea kiingereza kilichonyooka ambacho Kiko grammaticality correct!!!!

Pwani hoyeeee
Ndio maana mpaka wanafunzi wanakalia mawe, tatizo la msingi lilianzia humu.
 
Kalinganishe data hazitafanana na quotation hazitafanana yule ka collect za Kenya Jafo za Tanzania mfanano utatoka wapi?
Plagiarism inaanzia kwenye title, hata kabla ya contents. Katika hali ya kawaida, alipaswa arudishwe kuanzia hatua ya proposal. Kwa mfanano wa kwenye title nina wasiwasi originality ya hii kazi haivuki 10%.
 
Kalinganishe data hazitafanana na quotation hazitafanana yule ka collect za Kenya Jafo za Tanzania mfanano utatoka wapi?
Jamaa yako ka-edit hakuna data alizokusanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo prof. alikua anafundisha Chemistry ipi?Themodynamics kama ya Dr. Mkayula,Au Stereo chemistry ya Dr. Mgani Quntino???
Huyo nilimsikia tu, sikusoma hayo makitu.
Mimi nilikuwa mteja wa akina Prof Omari na Dr Chachage
 
3012735_Screenshot_20211125-152936_1.jpg
Huu sasa ndio u-snitch kabisa! Hizi mbona ni studies mbili tofauti zenye uwezekano wa kufanana variables chache tu? Study populations ni tofauti. Respondents ni tofauti. Hata research questions na methodology lazima ziwe tofauti, kwa kutazama title tu. Daudi Biriye amechunguza hizo factors katika wilaya moja nchini Kenya, wakati Dr Jafo amechunguza "mediating role of management" katika kushughulikia hizo factors kwa Tanzania nzima, na huenda hata factors zenyewe hazifanani.
Acheni wivu jamani.
 
Hiyo ni PhD nyingine feki kwa watanzania! Nilikuwa pale UDSM Mlimani Campus tena kwenye Department of Chemistry wakati Magufuli “anafanya PhD” yake pale wakati huo akiwa waziri wa ujenzi. Dr. Akwilapo alikuwa lecturer wangu wa organic chemistry na ndiye aliyehusika na hiyo “PhD” ya JPM hadi ikifanikiwa. Leo hii Dr. Akwilapo ni katibu mkuu wizara ya elimu na mimi na wenzangu tuliokuwepo UDSM enzi hizo tunajua kwanini huyu doctor wa chemistry alipewa ukatibu mkuu. Seleman Jaffo ana PhD ???!!!!….!***! Najua imewezekana vipi. Kila la kheri watanzania.
Supervisor wa JPM kwenye PhD alikuwa Prof Joseph Buchweshaija. Huyo Akwilapo unayemtaja alihusikaje?
 
Selemani Jaffo na kete ya Urais wa nchi 2030 kama CCM itafanikiwa kuzima vuguvugu la katiba hadi wakati huo.
 
Back
Top Bottom