Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
Jafo amesoma Ph.D na tumepishana naye one time pale UDOM.
Hongera sana Mh Jafo.
All the best in the future
Hongera sana Mh Jafo.
All the best in the future
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuma tofauti yoyote Kati ya Kaaheju msukuma na Hawa wasomi,
Ungekuwa PhD zao zinatusaidia tusingekuwa na uhaba ma madawati ,vyumba vya madalasa,mgao wa umeme na maji.
PhD za wanazoletewa mezani wasomi hazina manufaa kwa watanzania
Defence ina session mbili muhimu. Moja Presentation ya thesis in summary (power point presention), na mbili cross examination inayoambatana na maswali kutoka kwa external na internal examiners.We jamaa, watu wanapewa wanaiimba kama sala ya baba yetu
Hivi hawa maprof wa bongo wana lakuhoji kwa mawaziri?Defence ina session mbili muhimu. Moja Presentation ya thesis in summary (powe point presention), na mbili cross examination inayoambatana na maswali kutoka kwa external na internal examiners.
Ya kwanza unaweza kumeza na kuiimba lakini session ya pili kama umeandikiwa lazima jasho likutoke vinginevyo, kamati iwe dhaifu kiasi cha uhakika.
Hongera kwake Mheshimiwa Jafo. Ni mpiganaji wa siku nyingi. Nimeanza kumfahamu toka alipokuwa Plan-International wakati huo nikiwa shule ya Sekondari. Ni mtu asiye na kiburi au majivuno, nakumbuka kuna siku nilisimamisha gari lake akanisikiliza shida yangu! Baadae akanielekeza kwa msaidizi wake wa mbunge. Huko ndiko nilipopata changamoto.Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Hivi hawa maprof wa bongo wana lakuhoji kwa mawaziri?
Nenda Mzumbe ya Dar uone vilaza kabisa wanaokota masters.
Kuna mtumishi mwenzangu ofisi ya zamani alipewa title ya research na the so called Mwaijande. Hajui hata "research gap" ni nini ila nasikitika kukuambia anagraduate mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][em
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]😀😀 unasikitika!!, wewe ni kichaa.
Wake wa4Hongera sana Mzee wa wake watatu Ustaadh Jafo hakika wengine waige nyayo. Najua Tundu lissu anaitafuta PHD na yeye sasa hivi akili kubwa sana kwa wakili msomi Lissu. Next on the line nadhani nadhani Zzk.Jerry mabobish slaa naye najua atafuata.
Imewasaidia nini kutoa marais watu? Hao uliosema hawajawahi toa Waziri mkuu hizo jamii zenu za kichovu na kishenzi za Pwani mnawakuta wapi?Hujui wewe Pwani sio wazaramo tu yako makabila kibao Maraisi watatu wote asili yao Pwani Yuko Mzee Mwinyi ,Raisi Kikwete mkwere na Raisi wa Zanzibar wa sasa wakati wachaga na wahaya hawajawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wao
Pwani hoyeeee
Tatizo siyo "presentation of thesis" bali ni upatikanaji wa machapicho hayo ya kitaaluma. Mathalani, mimi binafsi nimekuwa nalitafuta kwa muda chapisho la kitaaluma la shahada ya uzamivu mtangulia mbele za haki JPM, lakini nimeambulia patupu.Defence ina session mbili muhimu. Moja Presentation ya thesis in summary (power point presention), na mbili cross examination inayoambatana na maswali kutoka kwa external na internal examiners.
Ya kwanza unaweza kumeza na kuiimba lakini session ya pili kama umeandikiwa lazima jasho likutoke vinginevyo, kamati iwe dhaifu kiasi cha uhakika.
System ya nchi yako ndiyo inawahujumu na kamwe hawatakaa wazipate hizo nafasi la sivyo siku system ikijichanganya, wakizipata msije mkashangaa wanajazana wao hadi kwenye korido za ofisi.Kawashangae na kuwadharau wahaya,wachaga na wanyakyusa wasomi wa kufa mtu ambao wanaongea kiingereza kilichonyooka ambacho hata malkia wa uingereza anawapigia makofi kwa usomi na kiingereza kizuri lakini hawajawahi toa Raisi Wala waziri mkuu na usomi wao toka Tanzania ipate Uhuru miaka 60 iliyopita
Garissa na Tanzania wapi na wapi case kufanana sio hoja data zitakuwa tofauti kabisa Jafo zake za Tanzania huyo zake za Kenya huwezi kusema Ni copy and paste mfano mmoja akifanya case study ya Covid 19 ujerumani na mwingine akafanya case study ya Covid 19 Tanzania huwezi sema wa Tanzania ka copy and paste case study ya ujerumani .Ni case tofauti zenye Takwimu tofauti
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Duh! Hapo kuna tatizo.Hivi hawa maprof wa bongo wana lakuhoji kwa mawaziri?
Nenda Mzumbe ya Dar uone vilaza kabisa wanaokota masters.
Kuna mtumishi mwenzangu ofisi ya zamani alipewa title ya research na the so called Mwaijande. Hajui hata "research gap" ni nini ila nasikitika kukuambia anagraduate mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni PhD nyingine feki kwa watanzania! Nilikuwa pale UDSM Mlimani Campus tena kwenye Department of Chemistry wakati Magufuli “anafanya PhD” yake pale wakati huo akiwa waziri wa ujenzi. Dr. Akwilapo alikuwa lecturer wangu wa organic chemistry na ndiye aliyehusika na hiyo “PhD” ya JPM hadi ikifanikiwa. Leo hii Dr. Akwilapo ni katibu mkuu wizara ya elimu na mimi na wenzangu tuliokuwepo UDSM enzi hizo tunajua kwanini huyu doctor wa chemistry alipewa ukatibu mkuu. Seleman Jaffo ana PhD ???!!!!….!***! Najua imewezekana vipi. Kila la kheri watanzania.Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Kwa hiyo ya Ruto ambyo ameipata akiwa bize na KAZI zaidi ya Jaffo unaiamini?PHD za bongo za wanasiasa ni chenga tu,wanachojali ni heshima tu,hakuna manufaa yoyote ukilinganisha walipokuwa na shahada na sasa Wana PHD!!ni mbwembwe tu,
Watu wangapi wanajua DP William Ruto ni PHD holder!!wachache sana,kwa sababu yeye anajari hiyo PHD inafanya nini,sio kuitumia kama cheo,
Kuna mbwiga mmoja,alitaka tuamini anayoyasema kuhusu uchumi!kwa vile tu ni Dokta wa uchumi!!hajawahi hata kushauri au kuendesha kampuni,kisa kadesa na kupata PhD,anataka tutetemeke