Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Publication siyo lazima katika kupata PhD, inategemea chuo na chuo. Kuna PhD za coursework na dissertation (fanya google search utaona nyingi tu), hata UDSM pale IDS kulikuwa na mpango wa kuanzisha a taught PhD (PhD by coursework), yaani unaingia darasani unaimbiwa lectures weeee, halafu unapigwa U.E ukifaulu unavaa gamba la PhD sawa na wengine waliokuwa wanalala maabara.
Bora PhD by course dissertation vyuoni walimu huwa hawako serious na kazi
 
Sasa unaambiwa kazi yenyewe aliyoiwasilisha ameikopi toka kwa mtu wa Kenya aliyefanyia utafiti wake huko Garisa, Kenya.
Hivi Udom huwa Wana plagiarism check up kweli maana hyo kazi ni copy and paste aisee huyo Mkenya akiona loh
 
Hongera sana Mzee wa wake watatu Ustaadh Jafo hakika wengine waige nyayo. Najua Tundu lissu anaitafuta PHD na yeye sasa hivi akili kubwa sana kwa wakili msomi Lissu. Next on the line nadhani nadhani Zzk.Jerry mabobish slaa naye najua atafuata.
Mkuu mbona umetaja akina Lissu na wenzake ila ukaacha watu kama akina Ndugai, Samia nk? Imetokea kwa bahati mbaya au umefanya makusudi?
 
Nina ushahidi wa kutosha kwamba hiyo kazi alifanya mtu huko Kenya wilaya ya Garisa. Naona kanunua na kubadilisha tu majina, yale ya Kenya akayaweka majina ya maeneo ya Tanzania.
Ila kwa plagiarism check up hairuhusiwi ku copy kazi ya mtu ina maana Udom hawana au ndio chuo Cha kata.
Maana plagiarism kwenye academic ni kosa kubwa ka uhujumu uchumi ulivo
 
Ila kwa plagiarism check up hairuhusiwi ku copy kazi ya mtu ina maana Udom hawana au ndio chuo Cha kata.
Maana plagiarism kwenye academic ni kosa kubwa ka uhujumu uchumi ulivo

Kuna watu wana wivu sana.
Kama ni rahisi kama anavyosema, aende yeye kuchukua kwa mtu wa garisa.
 
Kuna watu wana wivu sana.
Kama ni rahisi kama anavyosema, aende yeye kuchukua kwa mtu wa garisa.
Mi nauliza maana title copy and paste yeye kaongeza management na Tanzania tu udom Wana plagiarism check up au huwa inatumiwa kwa wasio na cheo?
Huyu jafo alikuwa busy na majukumu hyo PhD alimaliza lini na ubusy huo maana duh ninao wajua walio devote time na kuchukua likizo it was bit tough, mie Sina wivu ila PhD za wanasiasa kuanzia madilu, mwendazake Zina walakini
 
Publication siyo lazima katika kupata PhD, inategemea chuo na chuo. Kuna PhD za coursework na dissertation (fanya google search utaona nyingi tu), hata UDSM pale IDS kulikuwa na mpango wa kuanzisha a taught PhD (PhD by coursework), yaani unaingia darasani unaimbiwa lectures weeee, halafu unapigwa U.E ukifaulu unavaa gamba la PhD sawa na wengine waliokuwa wanalala maabara.
Mkuu kama huelewi kitu uwe tu unauliza ujuzwe.
Kweli huenda Kuna shida katika kusimamia ubora wa hizi PhD lakini si kwa kiwango unachoeleza.
Kwamba mtu anasoma coursework anapata PhD bila kufanya research?
Hamna kitu kama hiyo.
 
PhD za wanasiasa bongo haziaminiki nimekumbuka saananeView attachment 2023254View attachment 2023255
Mhh! Hapo atatoka tu kama katika shapisho lake hili la kitaaluma, atalitambulisha kwa kuanzia katika kujielekeza katika "limitation to study" ya mchango wa Daudi Bayire katika "body of knowledge" kwa kuithamini kazi ya kitaaluma aliyokwishafanya ambayo inayofanana na yake, ambayo ilifanyika kule wilaya ya Garissa nchini Kenya.

Kwa kushindwa kufanya hivyo itakuwa ni "plagiarism of highest quality". Maana kwa kuiangalia tu hiyo "title" yake, kaifanyia maboresho ili iendane na mazingira ya hapa Tanzania. Lakini tusimuhukumu bado, kwa kuwa "which matter is its contents and context".
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Izo ni phd za voda faster, hamna phd pale , hivi mnafikili phd ni Jambo jepesi Kama ambavyo wanazipata kiwepesi
 
Mhh! Hapo atatoka tu kama katika shapisho lake hili la kitaaluma, atalitambulisha kwa kuanzia katika "limitation to study" huku akithamini mchango wa Daudi Bayire katika "body of knowledge" kwa alikwishafanya kazi inayofanana na yake kule wilaya ya Garissa nchini Kenya.

Kwa kushindwa kufanya hivyo itakuwa "plagiarism of highest quality". Maana kaa kuiangalia tu hiyo "title" yake, kaifanyia maboresho ili iendane na mazingira ya Tanzania. Lakini tusimuhukumu bado, kwa kuwa "it is the contents and context which is matter".
Yani kwa plagiarism system tu kuanzia hyo title inaonyesha imekopiwa why Jafo hakuifanyia paraphrase kwa maneno mengine I'm sure hata maswali ya kufanyia ka copy Mkenya, Yani kwenye hyo title kaongeza hyo management na Tanzania the rest will detect copying
 
Hongera mbunge wangu wa kisarawe anayesema ohh watu wa Pwani hawapendi elimu ajinyonge
 
Mi nauliza maana title copy and paste yeye kaongeza management na Tanzania tu udom Wana plagiarism check up au huwa inatumiwa kwa wasio na cheo?
Huyu jafo alikuwa busy na majukumu hyo PhD alimaliza lini na ubusy huo maana duh ninao wajua walio devote time na kuchukua likizo it was bit tough, mie Sina wivu ila PhD za wanasiasa kuanzia madilu, mwendazake Zina walakini
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom