Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Mkuu, kichwa cha habari katika uzi wako kilipaswa kusomeka kwa lugha nyepesi tu ya kuwa "Mh. Jafo kutunukiwa shahada ya uzamivu"

Hayo mengine ndiyo hasa huanza kuibua mijadala mingine iliyokuwa hasi. Hongera Mh. Jafo kwa kutwaa jiwe la juu katika uwanja wa kitaaluma. Ni heshima kubwa kwako na kwa taifa letu pia.
 
Yeye hana cha kuhonga, akina Jaffo wamehonga kuanzia wasimamizi hadi mwandikaji.

Hata kwenye kuwasilisha anahonga pia ili ateleze.

Pesa huwa inarahisisha mambo mengi sana!

Tuseme ukweli enzi za Jiwe Mawaziri walikuwa wanapelekeshwa puta puta, Jaffo alipata wapi muda kuandika research? jibu ni kuwa "alihonga akaandikiwa".

PhD ya Jiwe ilipoanza kuhojiwa iliondolewa kwenye Publication, aliyehoji alipotezwa. Kama aliamini sio ya mbeleko angetuacha tuihoji ili atuprove wrong
Huu ndio ukweli wenyewe PhD ya kubumba hii [emoji28][emoji28]
 
Nina ushahidi wa kutosha kwamba hiyo kazi alifanya mtu huko Kenya wilaya ya Garisa. Naona kanunua na kubadilisha tu majina, yale ya Kenya akayaweka majina ya maeneo ya Tanzania.
Weka ushahidi hadharani, vinginevyo ni majungu tu
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Hongera sana mzee wa ku rap mpaka mtu anazimia!!
 
Kuna kizee kisomi tu kilisema kimeokotwa kwenye jalala!Mzee rubbish kweli!😝😝😝😝
Siku za karibuni nimejikuta nikiamini zaidi Mawazo na Maono ya Watu wasio na Elimu nchini Tanzania kuliko wale wenye nazo.

Na nimekuja pia Kugundua ya kwamba ndani ya miaka hii 60 ya Uhuru wetu Tanzania kutokea Tanganyika wale PhD's Holders wengi siyo tu Wapumbavu bali pia ni Wanafiki sana halafu hawajiamini.
A
 
Hivi Jaffo mpaka leo siyo dokta?Hapa kijijini kwetu wote tunajua yeye ni dokta mkubwa sana.

Dah!Ila yule "ofsa" alikuwa anapigia upatu kunyungulika utadhani alikuwa analipwa na waganga wa kienyeji!Hongera muhishimiwa Jaffo kwa kupata "pihichidii" ya nyungu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] halafu eti ana PhD
 
Mbona Leo ana defend na kA copy PhD ya Mkenya huko Hadi title. Hawa wanasiasa wakubwa wananunua elimu zao vyuoni
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Wazaramo kwa maneno haya Dkt Jafo umesikika vyema ingawa umeiwasilisha kimichambo zaidi

Wazaramo na kusoma wapi na wapi bana, hiyo PhD kapewa tu kisiasa
 
phd za wanasiasa wa tanzania hususani wa chama tawala huwa ni phd za mchongo.
PhD za wanasiasa bongo haziaminiki nimekumbuka saanane
IMG-20211125-WA0035.jpg
Screenshot_20211125-152936_1.jpg
 
Back
Top Bottom