Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
- Thread starter
- #81
Kwahiyo ina maana aunts zetu walituongopea?Niwe mkweli, amenifundisha miaka 4, sikusikia kitu hicho..... Prof Gaspar Ndaalio...alikuwa Mchaga. RIP my Prof!
Ninyi kipindi chenu pale Mlimani ilikuwa kawaida kwa wanaume kunyanyasa wanawake kijinsia. Binti ananyanyaswa kuanzia na lecturers hadi wanafunzi wenzake, akizidi ubishi anamaliziwa kabisa na MZEE PUNCH. Kumbuka suala la dada Levina Mukasa aliyejiua kwa sababu hiyo mwaka 1990.