Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kaandikiwe na wewe EINSTEN112
Tuongeze PhD hapa jf💥

Na ukishindwa kuandikiwa uje utengue kauli yako
wewe mama hujui kitu katika academic worls especially in TZ! Kamchezee mwali hayo utayaweza, sik ya vyombo hayo unayamdu mpeni wangu😀😀😀😀😀😀😀
 
PhD ya Jafo itakuwa kama ya yule Ben Saanane alisema ya kupewa tu hiyo.
 
Hongera sana Mzee wa wake watatu Ustaadh Jafo hakika wengine waige nyayo. Najua Tundu lissu anaitafuta PHD na yeye sasa hivi akili kubwa sana kwa wakili msomi Lissu. Next on the line nadhani nadhani Zzk.Jerry mabobish slaa naye najua atafuata.
Lema PhD yake anaitafuta lini?
 
wewe mama hujui kitu katika academic worls especially in TZ! Kamchezee mwali hayo utayaweza, sik ya vyombo hayo unayamdu mpeni wangu😀😀😀😀😀😀😀

Wewe baba mzima ungekua unajua kitu usingekua hapa kuponda PhD ya mwanaume mwenzio

Ndio ushafeli hivyo😂😂😂😂

Halafu nitakualika usiku wa vyombo maana unayaweza kweli mwenzangu
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Hongera sana Jaffo. Tutegemee value addtion kwenye kazi zako
 
Unaandikiwa kwa hela au unadhani kuna free lunch in Africa? Mwenzio akilipa hata million 2 tu anaandaliwa mzigo wake anaenda kuupambania kwenye panel😅
Panel inakuwa imeshawekwa sawa na Msimamizi..... I have witnessed such rubbish myself with aProf from Mzumbe UDSM wing!
 
Magufuli aliandikiwa na Buchweishaija or somebody else, he had no time to attend the course as per law/regulations governing PhD students courses
Unahakika gani hama huyu mzaramo naye hajaandikiwa[emoji851][emoji851]
 
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Hongera sana kwa Mhe Jafo. Mleta taarifa umetumia povu kubwa kutetea hiyo PhD yake. Nadhani haikuwa lazima uweke utetezi wote huu. UDOM ni Chuo kikuu chenye heshima yake na PhD yake pia inaheshima yake na haina ulazima wa kutetewa. Hongera Sana Mhe Jafo.
 
Panel inakuwa imeshawekwa sawa na Msimamizi..... I have witnessed such rubbish myself with aProf from Mzumbe UDSM wing!
Hahahahah watu wanakuwa washatembezewa bahasha za perdiem laki laki😅
 
Alisoma muda gani? Nakukumbusha ya magufuli na Ben Saanane....... tena UDOM, huko ndiko takataka tupu!
Endelea kusema UDOM ni takataka tupu kama unavyosema, halafu siku moja ubambikiwe kesi na ukifika mahakamani unakuta hakimu kasoma UDOM.
 
Wewe baba mzima ungekua unajua kitu usingekua hapa kuponda PhD ya mwanaume mwenzio

Ndio ushafeli hivyo😂😂😂😂

Halafu nitakualika usiku wa vyombo maana unayaweza kweli mwenzangu
Angalau umekiri hayo! Fine! Mbona nayajua sana ya PhD and the world around me! Ulizia Prof Ndaalio, Prof Khan , Prof Mtotomwema, Prof Ishumi and the like! at UDSM during very early 1980s..... nimefundishwa na hao siyo takataka za sasa. It is no wonder na wewe you are a Professor of Chemistry!
 
Wapo watu kazi yao kuandikia watu. India,Kenya,Nigeria ndio usiseme unamlipa.
Watu mnajua kuongea aisee, Kigezo cha kwanza kupata PhD lazima upublish paper/s kwenye journal inayotambulika duniani, Na kuna vyuo vingine hawakupi hiyo PhD mpaka upublish papers kuanzia 2 na kuendelea!! Sasa hiyo shughuli ya kupublish hizo papers kwenye reputable journals usimuliwe tu na watu, siyo ya kitoto, sidhani kama kuna mtu anaweza kukufanyia hilo kirahisi namna hiyo! Vyuo serious havina mpango na thesis report, huwa wanaichukulia kama formalities tu, mambo yote ni publications
 
Hongera sana kwa Mhe Jafo. Mleta taarifa umetumia povu kubwa kutetea hiyo PhD yake. Nadhani haikuwa lazima uweke utetezi wote huu. UDOM ni Chuo kikuu chenye heshima yake na PhD yake pia inaheshima yake na haina ulazima wa kutetewa. Hongera Sana Mhe Jafo.
Sijatumia povu wala sijatetea. Nimekosoa watu wenye tabia ya kubeza mafanikio ya wenzao, na nikatoa ushauri.
 
Back
Top Bottom