Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.

Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.

Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.

Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?

Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?

Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.

Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Huna tofauti na wale mashoga wa IFM

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kusema UDOM ni takataka tupu kama unavyosema, halafu siku moja ubambikiwe kesi na ukifika mahakamani unakuta hakimu kasoma UDOM.
You are right, very right exemplified by Mbowe et al now facing the wrath of a Judge from a stupid University. You are very right! and these are the products/outcomes of a sub-standard/below-standard trained lawyer!
 
Angalau umekiri hayo! Fine! Mbona nayajua sana ya PhD and the world around me! Ulizia Prof Ndaalio, Prof Khan , Prof Mtotomwema, Prof Ishumi and the like! at UDSM during very early 1980s..... nimefundishwa na hao siyo takataka za sasa. It is no wonder na wewe you are a Professor of Chemistry!

Kwani hao ulowataja ndio walikuambia jafo kaandikiwa PhD yake au ni hasira na chuki tuu kwa jafo?
Jadili vitu vya msingi bila hisia wewe
 
Hahahahah watu wanakuwa washatembezewa bahasha za perdiem laki laki😅
Nina rafiki Prof at Mzumbe UDSM wing.... a very close friend anafanya hayo..... watoto wetu can not write a thesis nakwambia. Nina mifano hai sana ni hivyo hatupashi kujuana humu ningelikutajia.. i vizuri mama D
 
Kwani hao ulowataja ndio walikuambia jafo kaandikiwa PhD yake au ni hasira na chuki tuu kwa jafo?
Jadili vitu vya msingi bila hisia wewe
Jafo sina chuki naye, kwanza simjui zaidi ya uwaziri. Wivu niutoe wapi, after all naweza kumzaa, niwe na wivu na mtoto wangu, never!
 
Nina rafiki Prof at Mzumbe UDSM wing.... a very close friend anafanya hayo..... watoto wetu can not write a thesis nakwambia. Nina mifano hai sana ni hivyo hatupashi kujuana humu ningelikutajia.. i vizuri mama D

Ungeweza kuandika bila ku geneneralize watu ningekuelewa. Vinginevyo nitaendelea kukuona mwenye chuki sababu wapo wanoandika vizuri tuu sana

Jafo sina chuki naye, kwanza simjui zaidi ya uwaziri. Wivu niutoe wapi, after all naweza kumzaa, niwe na wivu na mtoto wangu, never!
Basi usimnenee mabaya
 
Watu mnajua kuongea aisee, Kigezo cha kwanza kupata PhD lazima upublish paper/s kwenye journal inayotambulika duniani, Na kuna vyuo vingine hawakupi hiyo PhD mpaka upublish papers kuanzia 2 na kuendelea!! Sasa hiyo shughuli ya kupublish hizo papers kwenye reputable journals usimuliwe tu na watu, siyo ya kitoto, sidhani kama kuna mtu anaweza kukufanyia hilo kirahisi namna hiyo! Vyuo serious havina mpango na thesis report, huwa wanaichukulia kama formalities tu, mambo yote ni publications
Publication siyo lazima katika kupata PhD, inategemea chuo na chuo. Kuna PhD za coursework na dissertation (fanya google search utaona nyingi tu), hata UDSM pale IDS kulikuwa na mpango wa kuanzisha a taught PhD (PhD by coursework), yaani unaingia darasani unaimbiwa lectures weeee, halafu unapigwa U.E ukifaulu unavaa gamba la PhD sawa na wengine waliokuwa wanalala maabara.
 
Kaandikiwe na wewe EINSTEN112
Tuongeze PhD hapa jf[emoji95]

Na ukishindwa kuandikiwa uje utengue kauli yako
Yeye hana cha kuhonga, akina Jaffo wamehonga kuanzia wasimamizi hadi mwandikaji.

Hata kwenye kuwasilisha anahonga pia ili ateleze.

Pesa huwa inarahisisha mambo mengi sana!

Tuseme ukweli enzi za Jiwe Mawaziri walikuwa wanapelekeshwa puta puta, Jaffo alipata wapi muda kuandika research? jibu ni kuwa "alihonga akaandikiwa".

PhD ya Jiwe ilipoanza kuhojiwa iliondolewa kwenye Publication, aliyehoji alipotezwa. Kama aliamini sio ya mbeleko angetuacha tuihoji ili atuprove wrong
 
Hongera sana Mzee wa wake watatu Ustaadh Jafo hakika wengine waige nyayo. Najua Tundu lissu anaitafuta PHD na yeye sasa hivi akili kubwa sana kwa wakili msomi Lissu. Next on the line nadhani nadhani Zzk.Jerry mabobish slaa naye najua atafuata.
Akili ya lissu na Experience alonayo ni sawa na PhDs 400 zilizoko CCM
 
Angalau umekiri hayo! Fine! Mbona nayajua sana ya PhD and the world around me! Ulizia Prof Ndaalio, Prof Khan , Prof Mtotomwema, Prof Ishumi and the like! at UDSM during very early 1980s..... nimefundishwa na hao siyo takataka za sasa. It is no wonder na wewe you are a Professor of Chemistry!
Umenikumbusha Ndaalio. No Ndaalio no chemistry! Aligonga sana aunts zetu yule nuksi!
 
Ungeweza kuandika bila ku geneneralize watu ningekuelewa. Vinginevyo nitaendelea kukuona mwenye chuki sababu wapo wanoandika vizuri tuu sana

Basi usimnenee mabaya
Hawezi akawa waziri full time akaandika yeye mwenyewe by 100% thesis ya "nguvu" to the required standard of a PhD award thesis, nakwambia! au ni thesis za "kitoto" na ndiyo maana you will never see them circulating.....
mama D , nikupe mfano kama wewe ni academician utanielewas, Unaweza ukapublish. Issue si kupublish, isssue ni Je Umepublish journal gani!
 
Umenikumbusha Ndaalio. No Ndaalio no chemistry! Aligonga sana aunts zetu yule nuksi!
Basi huyu alikuwa anajua chemistry, CH114 and 220. Ukivuka hapo umemaliza UDSM from dept of science! Alimaliza form six, akenda Canada for BSc, MSc, and PhD from the same University! He was good upstairs!
 
Wakati wa JPM, huyu Jafo alikuwa muda mwingi kuzungukia mikoan. JPM alikuwa anamwendesha hata saa 8 usiku anampigia simu, leo tunambiwa wakati huo huo alikuwa busy na thesis ya PhD.
asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom