Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Jafo amesoma Ph.D na tumepishana naye one time pale UDOM.
Hongera sana Mh Jafo.
All the best in the future
 
Hakuma tofauti yoyote Kati ya Kaaheju msukuma na Hawa wasomi,
Ungekuwa PhD zao zinatusaidia tusingekuwa na uhaba ma madawati ,vyumba vya madalasa,mgao wa umeme na maji.

PhD za wanazoletewa mezani wasomi hazina manufaa kwa watanzania

Hizo ndio kama PhD za wakina Nchimbi k ule Mzumbe za kuandikiwa halafu prof. aliemuandikia anapewa cheo serikalini!!!Ufike Wakazi vyuo vyetu vite hizo PhD kwa wale tu ambao watakuwa wametoa suluhisho ya matatizo yanayowasibu wananchi!! Kwamfano mtu atakayegundua mitambo ya kusafirsha maji ya visima ili yawe salama, kwa kutumia raw materials zinazopatikana nchini; huyo anastahili kupewa shahada kama hiyo!!
 
We jamaa, watu wanapewa wanaiimba kama sala ya baba yetu
Defence ina session mbili muhimu. Moja Presentation ya thesis in summary (power point presention), na mbili cross examination inayoambatana na maswali kutoka kwa external na internal examiners.

Ya kwanza unaweza kumeza na kuiimba lakini session ya pili kama umeandikiwa lazima jasho likutoke vinginevyo, kamati iwe dhaifu kiasi cha uhakika.
 
Hivi hawa maprof wa bongo wana lakuhoji kwa mawaziri?


Nenda Mzumbe ya Dar uone vilaza kabisa wanaokota masters.

Kuna mtumishi mwenzangu ofisi ya zamani alipewa title ya research na the so called Mwaijande. Hajui hata "research gap" ni nini ila nasikitika kukuambia anagraduate mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera kwake Mheshimiwa Jafo. Ni mpiganaji wa siku nyingi. Nimeanza kumfahamu toka alipokuwa Plan-International wakati huo nikiwa shule ya Sekondari. Ni mtu asiye na kiburi au majivuno, nakumbuka kuna siku nilisimamisha gari lake akanisikiliza shida yangu! Baadae akanielekeza kwa msaidizi wake wa mbunge. Huko ndiko nilipopata changamoto.
 

😀😀 unasikitika!!, wewe ni kichaa.
 
Hongera sana Mzee wa wake watatu Ustaadh Jafo hakika wengine waige nyayo. Najua Tundu lissu anaitafuta PHD na yeye sasa hivi akili kubwa sana kwa wakili msomi Lissu. Next on the line nadhani nadhani Zzk.Jerry mabobish slaa naye najua atafuata.
Wake wa4
 
Imsaidie kulea wake wanne.

Everyday is Saturday................................😎
 
Hujui wewe Pwani sio wazaramo tu yako makabila kibao Maraisi watatu wote asili yao Pwani Yuko Mzee Mwinyi ,Raisi Kikwete mkwere na Raisi wa Zanzibar wa sasa wakati wachaga na wahaya hawajawahi toa hata waziri mkuu na ujuaji wao

Pwani hoyeeee
Imewasaidia nini kutoa marais watu? Hao uliosema hawajawahi toa Waziri mkuu hizo jamii zenu za kichovu na kishenzi za Pwani mnawakuta wapi?

Ukute nawe unachambia vile vikopo vyenu vya kutu!
 
kwa wale wadau ambao wamejiunga na jf hivi karibuni, nawashauri mpitie uzi wa nicholas aliou-publish mwaka 2015.

humo ndani watu walifunguka sana kuhusu phd za wasomi wa kitanzania.

zilishushwa nondo za hatari, uzi ulikuwa wa moto sana, hata kwa nyakati za sasa, uzi bado wa moto.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/833008/
 
Kama ile ya mchumi nambali wani eti hatuna sababu ya kumtiliashaka.
 
Tatizo siyo "presentation of thesis" bali ni upatikanaji wa machapicho hayo ya kitaaluma. Mathalani, mimi binafsi nimekuwa nalitafuta kwa muda chapisho la kitaaluma la shahada ya uzamivu mtangulia mbele za haki JPM, lakini nimeambulia patupu.

Wanasiasa wengi kutokana na umaarufu wao huonekana kama miungu watu. Hii ndiyo sababu huwapelekea kuwa na "impunity' hata kama ni wazee wa kugushi na kutengeneza matukio.
 
System ya nchi yako ndiyo inawahujumu na kamwe hawatakaa wazipate hizo nafasi la sivyo siku system ikijichanganya, wakizipata msije mkashangaa wanajazana wao hadi kwenye korido za ofisi.
 
Garissa na Tanzania wapi na wapi case kufanana sio hoja data zitakuwa tofauti kabisa Jafo zake za Tanzania huyo zake za Kenya huwezi kusema Ni copy and paste mfano mmoja akifanya case study ya Covid 19 ujerumani na mwingine akafanya case study ya Covid 19 Tanzania huwezi sema wa Tanzania ka copy and paste case study ya ujerumani .Ni case tofauti zenye Takwimu tofauti
 

 
Duh! Hapo kuna tatizo.
 
Hiyo ni PhD nyingine feki kwa watanzania! Nilikuwa pale UDSM Mlimani Campus tena kwenye Department of Chemistry wakati Magufuli “anafanya PhD” yake pale wakati huo akiwa waziri wa ujenzi. Dr. Akwilapo alikuwa lecturer wangu wa organic chemistry na ndiye aliyehusika na hiyo “PhD” ya JPM hadi ikifanikiwa. Leo hii Dr. Akwilapo ni katibu mkuu wizara ya elimu na mimi na wenzangu tuliokuwepo UDSM enzi hizo tunajua kwanini huyu doctor wa chemistry alipewa ukatibu mkuu. Seleman Jaffo ana PhD ???!!!!….!***! Najua imewezekana vipi. Kila la kheri watanzania.
 
Kwa hiyo ya Ruto ambyo ameipata akiwa bize na KAZI zaidi ya Jaffo unaiamini?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…