Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
hawana issue[emoji851][emoji851][emoji851]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawana issue[emoji851][emoji851][emoji851]
Kaka usifanye mchezo na "chapisho kwenye reputable journal", hakuna janjajanja, Editors and Reviewers wapo makini haswaa!! Sababu kubwa ya watu kushindwa kumaliza PhD ni publications! Mimi binafsi siwezi kuchukua hela yako na kukuahidi tutatoa chapisho kwenye journal inayoeleweka, hata kama hiyo field nipo mtabe kupita maelezoSasa kama unaweza kumlipa mtu hadi m5 akuandikie PhD thesis utashindwa kutoa m2 ili uandikiwe machapisho mawili tu? Mbona kazi rahisi sana hiyo!?
Una paper ngapi Chief?Kupublish paper kwenye reputable journals hata sio kazi kivile tusitishane🐒
Yote ni ma CCM . Kuna huyu pro pesa Lipumba anatembea Na miswaki Na Taula kwenye briefcase , laana ya kushirikiana Na CCM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawa na Masters ya Aloyce Kwezi hapo Tumaini Iringa. Alikuwa anasoma jioni. Jamaa hawezi hata kuongea na kuandika jina lake anapewa na A tu. Maisha haya.
Nina Paper 4 , 2 mimi ndio author wa kwanza kwa sababu nilikuwa PI na hizo 2 nyingine ni co-author ila journal zote ni SCI Indexed...kama ni kusaidia watu kuandika basi nimefanya za kutosha na kuchagua kutotokea kwenye majina kwa sababu ni papers za watu wanaoenda kugraduate na mimi nakuwa nipo nyuma kama ghostwriter, na kwangu mimi sasa sina manufaa hata nikitokea.Una paper ngapi Chief?
Hongera sana Kiongozi, najua unajua furaha unayopata siku waheshimiwa waki-accept paper yako, na unajua pia email ya Rejection inavyouma, All in all siyo jambo rahisiNina Paper 4 , 2 mimi ndio author wa kwanza kwa sababu nilikuwa PI na hizo 2 nyingine ni co-author ila journal zote ni SCI Indexed...kama ni kusaidia watu kuandika basi nimefanya za kutosha na kuchagua kutotokea kwenye majina kwa sababu ni papers za watu wanaoenda kugraduate na mimi nakuwa nipo nyuma kama ghostwriter, na kwangu mimi sasa sina manufaa hata nikitokea.
Kuandika paper na kuwa published kama upo focused its not a big deal the big deal ni citation impact ya ulichoandika....kuna kipindi nilitaka kuingia kwenye academics lakini niliishia kuona ni system ambayo inazidi kuharibiwa kutokana na politics kwenye institutions zetu nyingi . Field yangu ya specialization ni Computer Engineering japo nimeingia zaidi kwenye upande wa IT kutokana na kupata opportunities nyingi upande huo.
Ulichoulizwa ni kichwani, unaiona Ph.D?Kwahiyo wahitimu wa PhD hawapewi vyeti?
Nimerudia tena maandishi yako nakuona kama bwege vile! Hapa siyo jukwaa la kusifu watu. Hiyo Ph.D unayo? Kama unayo, iweke hapa ili tukusaidie kuonesha kwamba imekopiwa au la! Hizi ni enzi za e-life!Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Inategemea journal gani...Science? Nature? Lakini Malarià Journal one can attempt ( impact factor???)Kupublish paper kwenye reputable journals hata sio kazi kivile tusitishane[emoji205]
Kwahyo Sasa tunatafta PhD nyingine ya Urais ka ya Ile ya maganda ya korosho tenaSelemani Jaffo na kete ya Urais wa nchi 2030 kama CCM itafanikiwa kuzima vuguvugu la katiba hadi wakati huo.
Open university ni chaka la degree hewa wanasiasa wanaipenda kweri kweri in JPM voice.Jana Aweso nae kapata master ZnZ. Anadai alipata bachelor UD. Sasa uwezo wa kurudi UD umekwenda wapi hadi akakimbilie Open University tena ZnZ?
Open university ni chaka la degree hewa wanasiasa wanaipenda kweri kweri in JPM voice.
JK ndiye Mkwere wa Kwanza kuwa kanali na Doctor( PhD).Kwahiyo mtu wapili hongera kwake ndiyo maendeleo
Kina mtu alitegemea waziri akose PHD??? Serious.Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote amefoji tu! Acheni hizo. Acheni wivu.
Kama na nyie mnataka kuwa 'doctor' kasomeni. Mwenzenu Jafo amebukua pale UDOM huku akiendelea na majukumu yake ya uwaziri, na leo anatunukiwa PhD yake.
Kuna jitu nimeona huko limeshaenda kufukua huko mitandaoni linadai hiyo thesis ya Jafo inafanana na ya nani sijui wa huko Kenya! Hivi, kati yako wewe wa madongo kuinama na maprofesa wa UDOM, ni nani mwenye uwezo wa kutambua kuwa thesis iko sahihi au la?
Unaamini kabisa kuwa unaweza kuwakosoa maprofesa waliomsimamia Jafo hadi leo anapomalizia defense?
Narudia: acheni wivu. Kama jambo huliwezi sema "siwezi", usiseme "haiwezekani". Jafo ameweza, wengine igeni, jifunzeni.
Hongera sana Selemani Jafo, PhD.
Kwamba Wakishamaliza course work unaondoka? No research? jibu hili swali..Nenda pale UDSM kaulizie. Au fanya search tu kwenye google utaona. Kama hilo pia huna muda, fuata hii link hapa halafu tazama namba 16: https://www.udsm.ac.tz/web/index.php/colleges/coss/postgraduate-programmes
Shida elimu yetu watu wanasoma tu ila impact yake ni zeroHuko ukiandika thesis ya mbio za mwenge kesho unapewa phd😛
😛😛😛