Tetesi: Mawaziri wa Kikwete: Lazaro Nyalandu, na Jumba la karibu milioni 600 Arusha!

kama hiyo namba ni sahihi basi kazi ipo.
 
Mfuatilie vile vile DAB miutajiri aliyojilimbikizia kwa miaka mitatu ya UDC na URC ndio ujue kuwa DAB anamtunzia Yohana MVinyo Vitasa wizi wanaotuibia huku wakitutisha kwa mitutu na kutuua!!
 
Ni kwa sababu smelled kumuona Lissu?
Au ni " coincidence "?
 
Dr Slaa alishawahi kutanabaisha kuwa ana wasiwasi huenda uozo wa CCM ukahamia Chadema, yangu uzima, macho na muda..!!!
 
Leo ni tarehe 18 September 2017

kwa maelezo yako ,nyumba ilikamilika mwishoni mwa 2011

Kinachokusukuma leo (miaka takriban 6 imepita) kutuambia habari hizi ni kuwa ameshakuwa msaliti kwenda kumuona Lissu ?
 
Acheni wivu wakipuuzi..fanya kaz kwa bidii sio kuanzisha uzi wa kumuonea gere aliyepata.baba yako angepata nafas angetumia pia vizur na usingekua hapa unaandika vitu vya wenzio bila udhibitisho.

Fight with your condition..
 
Leo hii Nyalandu siyo mwizi bali ni mtu mwenye roho nyeupe baada ya kupiga picha na kina Msigwa na Lema pale Nairobi. Chadema hakuna anayewafikieni kwa unafiki
Kama ulikuwa unajua ni mwizi ulisubiri aende kumsalimia Lissu ndipo utueleze kuhusu wizi wake?
 
Nyie vvuccm mna mambo!yaani kuonekana tu ana ukaribu na TL basi mnaanza vioja,zamani mlikuwa wapi.
 
Nyumba ya milioni 600 hata siyo ishu, mimi na ukapuku wangu nilijikuta nyumba yangu ya kawaida tu imekula mil.150...kama hujajenga ndo utaleta haya majungu!
 
zaidi ya mshahara wa waziri na posho zake ambazo haziwezi zidi m7 kwa mwezi. Kuna kipato gani zaidi cha kumuwezesha mtu kujenga nyumba ya b1 kwa kuzingatia na maisha mengine yanaendelea?
mkopo
 
Kwa Enzi za JK waziri wake kua na nyumba ya 500M sioni kama ni ajabu; kitu cha kawaida sana. Kwani wakienda nje ya nchi hasa huko ng'ambo walikua wanalipwa sh ngapi?
 
Enzi za wanyamapori na neema zake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Weka picha na hati.JF siku hizi tunamiss facts kabisa.sio ile JF ya zamani.
 

Hizo ni nyuzi zenu chadema....ndiyo maana huwa tunawashaurini muweke akiba ya maneno.
 
Kumtembelea lissu imekuwa shida ...
Leteni uzi za jaji mkuu mstaafu piaaa

Ova
 
Hizo ni nyuzi zenu chadema....ndiyo maana huwa tunawashaurini muweke akiba ya maneno.
Wapmb-- nyie lazaro kumtembelea lissu imekuwa shidaaaa .....andikeni khsu jaji mkuu mstaafu piaaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…