Mawaziri Wakuu wa Israel na Uingereza wabwatukiana!

Sasa kwanini unadanganya kua shida ni mateka? Shida yenu ni ile ardhi ya Gaza na mlishakwama...
Nimesema kuwa Hamas kama wangewarudisha mateka mapema Gaza isingekuwq ilivyo leo!!
 
Huyu Israel si chochote bila misaada kutoka west. Sasa anagombana na bwana wake Uingereza, hajui kuwa huyo Muingereza ndio alianzisha hilo taifa feki 1948. Ukiona western countries wanagombana na Israel kwenye media basi ujue hali ni mbaya zaidi maana hapo wamejaribu sana kumsihi privately huyo SHETANYAHU lakini huyo ni sikio la kufa. Sasa wameamua liwalo na liwe. This is good news
 
Sasa wakati huo vyombo vya habari ni rtd,mzalendo,uhuru, mfanyakazi, daily news, vyombo vya chama na serikali,ungezipatia wapi hizo habari!?..makaburu walikuja na mpango wa kujifanya kama wamemsahau mandela Ili atoroke alimwe shaba,ni waingereza ndiyo waliotoa taarifa kwa front liners wamwambie mandela mpango mzima...uliiona hiyo habari kwenye mzalendo!?...
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 bila shaka umetunga hi; sio kweli madam. Nimefanya kazi na makaburu for years, nawajua, Waingereza pia mawafahamu. Nikiunganisha dots za kile nilichokua nakisikia FROM RTD kama usemavyo na nilivo wahi kuishi na hawa watu, sikubaliani ni wewe kuhusu Uingereza na Makaburu. Wazungu by nature (walio wengi) hawaamini kama sisi weusi ni binadamu kamili, Mzungu by nature ni ngumu sana kumsariti Mzungu mwenzie, ngumu sana. Wazee wenzangu waliopo humu hasa wale waliokua wakifatilia vita vya Msumbiji na Waasi wao wa Renamo na Angola na waasi wao wa chama cha bwana Savimbi watakumbuka hi.
Pamoja na kua na urafiki mkubwa kati yetu na USSR ya wakati huo (Urusi ya leo) na walikuwa wakituma askari wao kuja kupigana na vibaraka wale but kuna matukio kadhaa ya askari hao wa kizungu kuuza ramani ya vita kwa askari wa kikaburi. Ndio ije kwa Waingereza na makaburu? Never; walitoa masharti kwao wakijua wana option B, Africa kusini iliotengwa ya enzi zile za ubaguzi, hawakufanya biashara kubwa kama Africa kusini ya Wazalendo. Sasa hvi makampuni ya SA yametapakaa everywhere in Africa, hadi kampuni za ulinzi tu. Wamefaidika zaidi kuliko walivokua madarakani. Huo ndio ulikua ushauri wa Uingereza kwa South African whites
 
Mwishoni waingereza walikua vocal dhidi ya apartheid,wakaweka vikwazo,alipomalizia vikwazo USA,kaburu hakuwa na namna, unadhani bila mikono ya hao wazungu kaburu angeng'atuka,kwa lipi!?

How Margaret Thatcher helped end apartheid – despite herself

Tatizo hamsomi,mmebaki na 'mazungumzo baada ya habari'
 
OK; ngoja nikusaidie kidogo binti yetu mzuri mzuri.

Miaka ya mwanzoni ya 90, pale Sukari house kulikua na bank 1 ili operate kwa muda mfupi then BOT wakaifungia cause ilianza kuonesha dalili za kufirisika, fasta mbadala wake akaja Stan chartered bank (kama sio Stanbik bank, one of them) unajua hi ni bank from SA? Tena ilikuja soon after apartheid. Unakumbuka? Na kampuni nyingine nyingi tu hadi supermarkets from SA zilikuja from SA? Now, kafatilie hizo kampuni nyingi shareholders wake ni watu gani? Utagundua mostly are from England, miaka michache wakaingia kwenye madini hasa Dhahabu na Almasi, vyote hivyo ni middle of 90's na HQ za hizo kampuni were from SA but still shareholders wa hizo kampuni are either from England or USA or both; now ilikua lazima wawashauri makaburu (sio kuwatupa mkono kama unavyo dhani) ili wawaachie utawala wa kisiasa blacks but uchumi waendelee kuushikiria wao and that's how it worked hadi leo. Mashamba, biashara za kila aina, viwanda, best schools and universities vipo chini yao na wameweza kupenya kwenye masoko hadi ya nchi zilizokua mahasimu wao kama Tanzania, Zambia, Zimbabwe etc. Halikua shinikizo, lilikua wazo na walifanikiwa. Now, as we speak, same guys wameanza kuondoa baadhi ya biashara zao SA na kuhamishia sehemu zingine, hadi baadhi ya makampuni ya madini, wameanza kuondoa HQ from SA to another countries, why? Sababu zinajulikana.
 
Hizi story za nini!?.. hoja yetu ulisema UK hawakuhusika,nikakupa njama za mandela,ukadai ni made-up story, nikakupa habari ya guardian, unakuja na story zingine,inajulikana south africa ni mawakala wa biashara za mabeberu kama walivyo wakenya,na hizo biashara ni njia kuu za uchumi,so kuwabinya kupitia hizo ni rahisi,na ndicho walichofanya
 
Israel haikubali kuaibishwa na Hamas, hadi sasa Israel haijafikia malengo yake kivita...
Hapo vita ikisimama kwa shinikizo, hamas wanaingia mtaani kushangilia ushindi na hiko kinawauma vibaya sana Israel..

Kwa hiki kipindi Israel imechemka na wakiendelea na ujinga wao Palestine watapewa nchi yao..
 
Issue ni walowezi kule West Bank ambao bado watamani ardhi zaidi na hawa walowezi ndo walo nyuma ya Bibi na ndo wengi wamo kwenye serikali yake na baraza la mawaziri.

Na wamemwambia kabisa kwamba "ukisimamisha vita twaiangusha serikali yako".

Ndo maana Bibi ana wakati mgumu sana kwani akisimamisha vita ataanguka kisiasa na pia ICC yamsubiria kule Tha Hague.
 
Waingereza walitawala wapi anapowakumbusha?
We tuliza tako hiyo dini umefungashiwa tu ndugu zako wanavyodhalilishwa na kuteswa kule uarabuni usingehangaika eti ndg ktk imani. Mwarabu ni katili we mweusi anakuona zaidi ya nyani. Uislamu ni utamaduni wa mwarabu hakuna undugu kati yako na mwarabu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-04-28-14-12-28-492.jpg
    Screenshot_2025-04-28-14-12-28-492.jpg
    290.2 KB · Views: 19
Israel haikubali kuaibishwa na Hamas, hadi sasa Israel haijafikia malengo yake kivita...
Hapo vita ikisimama kwa shinikizo, hamas wanaingia mtaani kushangilia ushindi na hiko kinawauma vibaya sana Israel..

Kwa hiki kipindi Israel imechemka na wakiendelea na ujinga wao Palestine watapewa nchi yao..
Israel 🇮🇱 wameanza kumwambia ukweli sikio halizidi kichwa Waliokuweka ndo wanaweza kukuondoa
 
Issue ni walowezi kule West Bank ambao bado watamani ardhi zaidi na hawa walowezi ndo walo nyuma ya Bibi na ndo wengi wamo kwenye serikali yake na baraza la mawaziri.

Na wamemwambia kabisa kwamba "ukisimamisha vita twaiangusha serikali yako".

Ndo maana Bibi ana wakati mgumu sana kwani akisimamisha vita ataanguka kisiasa na pia ICC yamsubiria kule Tha Hague.
Nimekusoma vyema...
 
😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 bila shaka umetunga hi; sio kweli madam. Nimefanya kazi na makaburu for years, nawajua, Waingereza pia mawafahamu. Nikiunganisha dots za kile nilichokua nakisikia FROM RTD kama usemavyo na nilivo wahi kuishi na hawa watu, sikubaliani ni wewe kuhusu Uingereza na Makaburu. Wazungu by nature (walio wengi) hawaamini kama sisi weusi ni binadamu kamili, Mzungu by nature ni ngumu sana kumsariti Mzungu mwenzie, ngumu sana. Wazee wenzangu waliopo humu hasa wale waliokua wakifatilia vita vya Msumbiji na Waasi wao wa Renamo na Angola na waasi wao wa chama cha bwana Savimbi watakumbuka hi.
Pamoja na kua na urafiki mkubwa kati yetu na USSR ya wakati huo (Urusi ya leo) na walikuwa wakituma askari wao kuja kupigana na vibaraka wale but kuna matukio kadhaa ya askari hao wa kizungu kuuza ramani ya vita kwa askari wa kikaburi. Ndio ije kwa Waingereza na makaburu? Never; walitoa masharti kwao wakijua wana option B, Africa kusini iliotengwa ya enzi zile za ubaguzi, hawakufanya biashara kubwa kama Africa kusini ya Wazalendo. Sasa hvi makampuni ya SA yametapakaa everywhere in Africa, hadi kampuni za ulinzi tu. Wamefaidika zaidi kuliko walivokua madarakani. Huo ndio ulikua ushauri wa Uingereza kwa South African whites
Well-done umesema ukweli mtupu!!
 
Back
Top Bottom