Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe.
Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo.
Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua nini anafanya.
Mwambe kapewa lidude very complex lakini ninamwona kabeba hali ya kujiamini kwa kiasi kinachopaswa huku akiwa makini sana kuendana na Bosi wake.
Anafafanua mambo kwa uelewa mkubwa bila hata ya kusababishiwa kashfa.
Wengine waliokuwa wanaenda vizuri ni Simbachawene ingawa kwa kiasi ninaona ile hali ya kujiamini ilipunguzwa na awamu ya tano. Anatakiwa arudi kawaida yake.
Mkenda alikuja vizuri lakini Mwezi Novemba, 2021 kwake umekuwa mchungu kwa kiasi na ninahisi kapunguziwa confidence kwa kiasi kikubwa ingawa ni Mtendaji mzuri.
Hawa wengine hawa wameshindwa kabisa! Mziki waliokuwa wanaucheza awamu ya tano unawachanganya.
Wanashindwa kubadilika kwa sababu ya kuona aibu. Dr. Mwigulu alikuja na staili ya kuanza kusimama kwenye gari na kutoa mastatement kama Mkuu wa Nchi akifikiri awamu ya sita haitamshtukia.
Baada ya kuona Ndugulile katunguliwa kama kunguru aliyekuwa anavizia vifaranga naye kaufyata! Tatizo la Dr. Mwigulu ni kusaka umaarufu wa kinchi badala ya wa kijimbo. Na 2025 kule jimboni kwake Iramba hapati.
Mawaziri wengine bado sana, akina Kitila Mkumbo, Ndumbaro, Mhagama, Ummy, Ndalichako, Mulamula, wapo wapo tu. Mbaya zaidi ni akina Kabudi ambao wamejificha pangoni, hawana impact yeyotena wapo kama maksai aliyehasiwa!
Mama yangu SSH zingatia sana thread hii, fanya mabadiliko, akina Kabudi, Mkuchika sio vibaya ukiwaondoa. Ukiwaacha kwa nafasi zao kwa muda mrefu kama akina Mhagama wameshajitengenezea networks hatari sana katika potifolios wanazozisimamia na ndiyo maana wana viburi hatari.
Hawa watu watakuja kukuangusha mchana kweupe! Angalau uwafanyie hata reshuffle basi!