Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

Tuwe wakweli tu....Huyu MHAGAMA sijui JENI ni moja ya watu ambao unajiuliza aliwezaje kuwa Waziri....sio tu waziri huyu hana uwezo hata wakuwa katibu kata... UMMY alipaswa kwenda kupractice na kukifanyia kazi alichosomea huko, akiwa competent aishie huko huko.... Ndalichako huyu alipaswa kukaa huko kwenye utendaji wizarani sio kuwa Waziri.... Mulamula naye alipaswa kubaki kuwa Personal secretary wa mtu sio level ya uwaziri...

Tuache sasa kuwapa watu nyadhifa kwa connection, tujitahidi kupima uwezo wao na ikiwezekana kushindanisha na wengine...Mifumo imejaa VILAZA ndio maana kila siku tunalialia...
Labda tusubiri kuletewa malaika maana kila atakayeteuliwa mutamtafutia makosa kadhaa.
 
Tuwe wakweli tu....Huyu MHAGAMA sijui JENI ni moja ya watu ambao unajiuliza aliwezaje kuwa Waziri....sio tu waziri huyu hana uwezo hata wakuwa katibu kata... UMMY alipaswa kwenda kupractice na kukifanyia kazi alichosomea huko, akiwa competent aishie huko huko.... Ndalichako huyu alipaswa kukaa huko kwenye utendaji wizarani sio kuwa Waziri.... Mulamula naye alipaswa kubaki kuwa Personal secretary wa mtu sio level ya uwaziri...

Tuache sasa kuwapa watu nyadhifa kwa connection, tujitahidi kupima uwezo wao na ikiwezekana kushindanisha na wengine...Mifumo imejaa VILAZA ndio maana kila siku tunalialia...
Huku kwa mhagama kulimfaa sana Kitila Mkumbo! Wangebadilishana! Mhagama ni chanzo cha kikokotoo kibaya!
 
Kwanza alikuwa anafanya kazi kinafiki ili again umaarufu. Kule Mwanza aliwahi kukutana na mchambo!
Kama kuna shida kubwa kabisa Tanzania ni ardhi. Haipimwa, haina plan, sheria imewapa vijiji kusimamia unfortunately hao wasimamizi wenyewe ndo hawa wa kura za maruhani. Matokeo yake wanauza ardhi hovyo. Vurugu mtindo mmoja.

Kwenye hati maafisa ardhi wamekuwa miungu watu. Ni dhulma mwanzo mwisho.

Ardhi ingeweza kuleta mapato makubwa sana kama ingekuwa na watu vichwa wanaoisimamia. Probably we need Land Planning and Development Agency (LPDA).
 
Tuwe wakweli tu....Huyu MHAGAMA sijui JENI ni moja ya watu ambao unajiuliza aliwezaje kuwa Waziri....sio tu waziri huyu hana uwezo hata wakuwa katibu kata... UMMY alipaswa kwenda kupractice na kukifanyia kazi alichosomea huko, akiwa competent aishie huko huko.... Ndalichako huyu alipaswa kukaa huko kwenye utendaji wizarani sio kuwa Waziri.... Mulamula naye alipaswa kubaki kuwa Personal secretary wa mtu sio level ya uwaziri...

Tuache sasa kuwapa watu nyadhifa kwa connection, tujitahidi kupima uwezo wao na ikiwezekana kushindanisha na wengine...Mifumo imejaa VILAZA ndio maana kila siku tunalialia...
Huwa najiuliza sana hivi Mhagama alipenyaje huyu lakini? Kama kweli ushirikina upo basi kea huyu umehusika. Ni kilaza square.
 
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua nini anafanya. Mwambe kapewa lidude very complex lakini ninamwona kabeba hali ya kujiamini kwa kiasi kinachopaswa huku akiwa makini sana kuendana na Bosi wake. Anafafanua mambo kwa uelewa mkubwa bila hata ya kusababishiwa kashfa.
Wengine waliokuwa wanaenda vizuri ni Simbachawene ingawa kwa kiasi ninaona ile hali ya kujiamini ilipunguzwa na awamu ya tano. Anatakiwa arudi kawaida yake. Mkenda alikuja vizuri lakini Mwezi Novemba, 2021 kwake umekuwa mchungu kwa kiasi na ninahisi kapunguziwa confidence kwa kiasi kikubwa ingawa ni Mtendaji mzuri.
Hawa wengine hawa wameshindwa kabisa! Mziki waliokuwa wanaucheza awamu ya tano unawachanganya. Wanashindwa kubadilika kwa sababu ya kuona aibu. Dr. Mwigulu alikuja na staili ya kuanza kusimama kwenye gari na kutoa mastatement kama Mkuu wa Nchi akifikiri awamu ya sita haitamshtukia. Baada ya kuona Ndugulile katunguliwa kama kunguru aliyekuwa anavizia vifaranga naye kaufyata! Tatizo la Dr. Mwigulu ni kusaka umaarufu wa kinchi badala ya wa kijimbo. Na 2025 kule jimboni kwake Iramba hapati.
Mawaziri wengine bado sana, akina Kitila Mkumbo, Ndumbaro, Mhagama, Ummy, Ndalichako, Mulamula, wapo wapo tu. Mbaya zaidi ni akina Kabudi ambao wamejificha pangoni, hawana impact yeyotena wapo kama maksai aliyehasiwa!
Mama yangu SSH zingatia sana thread hii, fanya mabadiliko, akina Kabudi, Mkuchika sio vibaya ukiwaondoa. Ukiwaacha kwa nafasi zao kwa muda mrefu kama akina Mhagama wameshajitengenezea networks hatari sana katika potifolios wanazozisimamia na ndiyo maana wana viburi hatari. Hawa watu watakuja kukuangusha mchana kweupe! Angalau uwafanyie hata reshuffle basi!
Mbona yule waziri wa maji aweso umemuacha
 
alishauriwa mapema sana avunje baraza lote la mwendazake aweke baraza lake akajibu "ohhh mimi na jiwe ni kitu kimoja"

Haya kiko wapi sasa??
 
Tuwe wakweli tu....Huyu MHAGAMA sijui JENI ni moja ya watu ambao unajiuliza aliwezaje kuwa Waziri....sio tu waziri huyu hana uwezo hata wakuwa katibu kata... UMMY alipaswa kwenda kupractice na kukifanyia kazi alichosomea huko, akiwa competent aishie huko huko.... Ndalichako huyu alipaswa kukaa huko kwenye utendaji wizarani sio kuwa Waziri.... Mulamula naye alipaswa kubaki kuwa Personal secretary wa mtu sio level ya uwaziri...

Tuache sasa kuwapa watu nyadhifa kwa connection, tujitahidi kupima uwezo wao na ikiwezekana kushindanisha na wengine...Mifumo imejaa VILAZA ndio maana kila siku tunalialia...
Kama hao wote hawafai, hivi Chadema ikichukua nchi nani anafaa kuwa Waziri?? Yeriko Nyerere au Mdude?
 
nchi hii inawatu wengi sana wenye uwezo tatizo mfumo sio rafiki kwa watu smart kuingia... sidhani kama hapo tumetaja watu wote, wapo ambao hatujawataja wengi tu....tutengeneze mifumo rafiki kwa kila mtanzania awe na urahisi wa kuonyesha kipaji chake....hapa tunaweza kupata vijana wengi sana wakitanzania wenye vipaji na wazalendo..
 
Kuna Mawaziri kibao wanatakiwa wapumzike, wengi walikuwa misukule ya Hayati bila kugongwa kama patasi ilikuwa haifanyi kazi... Mama hujachelewa tena anza na yule wa JALALANI.
 
nchi hii inawatu wengi sana wenye uwezo tatizo mfumo sio rafiki kwa watu smart kuingia... sidhani kama hapo tumetaja watu wote, wapo ambao hatujawataja wengi tu....tutengeneze mifumo rafiki kwa kila mtanzania awe na urahisi wa kuonyesha kipaji chake....hapa tunaweza kupata vijana wengi sana wakitanzania wenye vipaji na wazalendo..
Watanzania ndio zetu, mabingwa wa kulalamika na kujitungia solutions, na mbaya zaidi hizo solutions zikifanyiwa kazi mnaanza kulalama.

Mfano; tulikuwa tunalalamika tunakopa sana wakati kuna vyanzo vingi vya kodi, sasahivi tumeletewa tozo kwenye miamala tunalalamika tunaonewa. Lakini si ndio hivyo vyanzo tulikuwa tunataka serikali ivitafute?
 
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe.

Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo.

Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua nini anafanya.

Mwambe kapewa lidude very complex lakini ninamwona kabeba hali ya kujiamini kwa kiasi kinachopaswa huku akiwa makini sana kuendana na Bosi wake.

Anafafanua mambo kwa uelewa mkubwa bila hata ya kusababishiwa kashfa.

Wengine waliokuwa wanaenda vizuri ni Simbachawene ingawa kwa kiasi ninaona ile hali ya kujiamini ilipunguzwa na awamu ya tano. Anatakiwa arudi kawaida yake.

Mkenda alikuja vizuri lakini Mwezi Novemba, 2021 kwake umekuwa mchungu kwa kiasi na ninahisi kapunguziwa confidence kwa kiasi kikubwa ingawa ni Mtendaji mzuri.

Hawa wengine hawa wameshindwa kabisa! Mziki waliokuwa wanaucheza awamu ya tano unawachanganya.

Wanashindwa kubadilika kwa sababu ya kuona aibu. Dr. Mwigulu alikuja na staili ya kuanza kusimama kwenye gari na kutoa mastatement kama Mkuu wa Nchi akifikiri awamu ya sita haitamshtukia.

Baada ya kuona Ndugulile katunguliwa kama kunguru aliyekuwa anavizia vifaranga naye kaufyata! Tatizo la Dr. Mwigulu ni kusaka umaarufu wa kinchi badala ya wa kijimbo. Na 2025 kule jimboni kwake Iramba hapati.

Mawaziri wengine bado sana, akina Kitila Mkumbo, Ndumbaro, Mhagama, Ummy, Ndalichako, Mulamula, wapo wapo tu. Mbaya zaidi ni akina Kabudi ambao wamejificha pangoni, hawana impact yeyotena wapo kama maksai aliyehasiwa!

Mama yangu SSH zingatia sana thread hii, fanya mabadiliko, akina Kabudi, Mkuchika sio vibaya ukiwaondoa. Ukiwaacha kwa nafasi zao kwa muda mrefu kama akina Mhagama wameshajitengenezea networks hatari sana katika potifolios wanazozisimamia na ndiyo maana wana viburi hatari.

Hawa watu watakuja kukuangusha mchana kweupe! Angalau uwafanyie hata reshuffle basi!
Eti kamulamula kawaziri ka Mambo nje hehehehe, we Maushungi are u serious , Kweli Magufuli alikuwa Rais huyu mama ni Lice , Et Mwiguru Mambo fedha , Mkenda Bora japo amempunguzia confidence Sana Maushungi
 
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe.

Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo.

Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua nini anafanya.

Mwambe kapewa lidude very complex lakini ninamwona kabeba hali ya kujiamini kwa kiasi kinachopaswa huku akiwa makini sana kuendana na Bosi wake.

Anafafanua mambo kwa uelewa mkubwa bila hata ya kusababishiwa kashfa.

Wengine waliokuwa wanaenda vizuri ni Simbachawene ingawa kwa kiasi ninaona ile hali ya kujiamini ilipunguzwa na awamu ya tano. Anatakiwa arudi kawaida yake.

Mkenda alikuja vizuri lakini Mwezi Novemba, 2021 kwake umekuwa mchungu kwa kiasi na ninahisi kapunguziwa confidence kwa kiasi kikubwa ingawa ni Mtendaji mzuri.

Hawa wengine hawa wameshindwa kabisa! Mziki waliokuwa wanaucheza awamu ya tano unawachanganya.

Wanashindwa kubadilika kwa sababu ya kuona aibu. Dr. Mwigulu alikuja na staili ya kuanza kusimama kwenye gari na kutoa mastatement kama Mkuu wa Nchi akifikiri awamu ya sita haitamshtukia.

Baada ya kuona Ndugulile katunguliwa kama kunguru aliyekuwa anavizia vifaranga naye kaufyata! Tatizo la Dr. Mwigulu ni kusaka umaarufu wa kinchi badala ya wa kijimbo. Na 2025 kule jimboni kwake Iramba hapati.

Mawaziri wengine bado sana, akina Kitila Mkumbo, Ndumbaro, Mhagama, Ummy, Ndalichako, Mulamula, wapo wapo tu. Mbaya zaidi ni akina Kabudi ambao wamejificha pangoni, hawana impact yeyotena wapo kama maksai aliyehasiwa!

Mama yangu SSH zingatia sana thread hii, fanya mabadiliko, akina Kabudi, Mkuchika sio vibaya ukiwaondoa. Ukiwaacha kwa nafasi zao kwa muda mrefu kama akina Mhagama wameshajitengenezea networks hatari sana katika potifolios wanazozisimamia na ndiyo maana wana viburi hatari.

Hawa watu watakuja kukuangusha mchana kweupe! Angalau uwafanyie hata reshuffle basi!
Tuache majungu. Unataka waziri wa sheria awe anapayuka kama mwenezi wa chamacha siasa au mpira
 
Back
Top Bottom