Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

Labda tusubiri kuletewa malaika maana kila atakayeteuliwa mutamtafutia makosa kadhaa.
 
Huku kwa mhagama kulimfaa sana Kitila Mkumbo! Wangebadilishana! Mhagama ni chanzo cha kikokotoo kibaya!
 
Kwanza alikuwa anafanya kazi kinafiki ili again umaarufu. Kule Mwanza aliwahi kukutana na mchambo!
Kama kuna shida kubwa kabisa Tanzania ni ardhi. Haipimwa, haina plan, sheria imewapa vijiji kusimamia unfortunately hao wasimamizi wenyewe ndo hawa wa kura za maruhani. Matokeo yake wanauza ardhi hovyo. Vurugu mtindo mmoja.

Kwenye hati maafisa ardhi wamekuwa miungu watu. Ni dhulma mwanzo mwisho.

Ardhi ingeweza kuleta mapato makubwa sana kama ingekuwa na watu vichwa wanaoisimamia. Probably we need Land Planning and Development Agency (LPDA).
 
Huwa najiuliza sana hivi Mhagama alipenyaje huyu lakini? Kama kweli ushirikina upo basi kea huyu umehusika. Ni kilaza square.
 
Mbona yule waziri wa maji aweso umemuacha
 
alishauriwa mapema sana avunje baraza lote la mwendazake aweke baraza lake akajibu "ohhh mimi na jiwe ni kitu kimoja"

Haya kiko wapi sasa??
 
Kama hao wote hawafai, hivi Chadema ikichukua nchi nani anafaa kuwa Waziri?? Yeriko Nyerere au Mdude?
 
Kama hao wote hawafai, hivi Chadema ikichukua nchi nani anafaa kuwa Waziri?? Yeriko Nyerere au Mdude?

nchi hii inawatu wengi sana wenye uwezo tatizo mfumo sio rafiki kwa watu smart kuingia... sidhani kama hapo tumetaja watu wote, wapo ambao hatujawataja wengi tu....tutengeneze mifumo rafiki kwa kila mtanzania awe na urahisi wa kuonyesha kipaji chake....hapa tunaweza kupata vijana wengi sana wakitanzania wenye vipaji na wazalendo..
 
Kuna Mawaziri kibao wanatakiwa wapumzike, wengi walikuwa misukule ya Hayati bila kugongwa kama patasi ilikuwa haifanyi kazi... Mama hujachelewa tena anza na yule wa JALALANI.
 
Watanzania ndio zetu, mabingwa wa kulalamika na kujitungia solutions, na mbaya zaidi hizo solutions zikifanyiwa kazi mnaanza kulalama.

Mfano; tulikuwa tunalalamika tunakopa sana wakati kuna vyanzo vingi vya kodi, sasahivi tumeletewa tozo kwenye miamala tunalalamika tunaonewa. Lakini si ndio hivyo vyanzo tulikuwa tunataka serikali ivitafute?
 
Eti kamulamula kawaziri ka Mambo nje hehehehe, we Maushungi are u serious , Kweli Magufuli alikuwa Rais huyu mama ni Lice , Et Mwiguru Mambo fedha , Mkenda Bora japo amempunguzia confidence Sana Maushungi
 
Tuache majungu. Unataka waziri wa sheria awe anapayuka kama mwenezi wa chamacha siasa au mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…