Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

Tatizo ni mfumo tuna walaumu bure maana wote wanategemea mawazo ya mtu mmoja ambaye hakosei
 
kwa hiyo umewakomalia wamama tu....mbona huwasemi wababa?
 
Poa. Ila tambua tu kuwa hakuna mpakwa mafuta hata mmoja hapo. Kwa ivo wengine ni viwete ama wakuchechemea wameshindwa kusimama. Ni hayo tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Lukuvi inaisimamia vizuri tu wizara ya ardhi.
Kivipi sasa ikiwa ujenzi holela bado upo
Ukiwa na heka yako moja unaweza kuuzia watu hata 20 na nyumba zikajengwa hapo ovyo
Angekuwa na akili maeneo nje ya mji yangepimwa na kuzingatia mipango miji ili baadaye
 
em ngoja kwanza!
kwani tumeshafanya uchaguzi wa awamu ya sita na kumpata raisi wa awamu ya sita?!!
 
Kweli , hao uliowataja hamna kitu, Ndalichako anafaa kwenye utendaji kuliko kuwa waziri, Ummi Mwalimu nae hamna kitu, kazi matamko tu ili aonekane anaupiga mwingi, huyu mama Mulamula nae haeleweki, Jeni ndo sijui kwa nn bado yupo? Alitakiwa aendelee kufundisha VeTA huko.
 
Mhagama pale yupo tu kama mpini ambao hauna jembe .......kati ya vilaza hata huyu yumon...... hangaya
 
Kwa hii tathmini yako ni kama hatuna baraza la mawaziri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…