Mawaziri waliotia fora kumuangusha Rais Samia 2022 hawa hapa

Mpaka Sasa eti nchemba ni waziri Tena wa feza hapo ndio unaona nchi hii haina viongozi na ninyepesi kuiongoza hata matonya angeiongoza na angepata wafuasi wakutosha tu
 
Naona nyuzi za kumtetea maza zimeongezeka mgodi umetema Nini.
Mana majuzi hapa alizodolewa Naona naye ameamua kupararua na kukumbatia na kubusu Ila pwani jamani Kuna Mambo acha
Mama hana tatizo hana sababu ya kutetewa na mtu
 
Amefe
Amefelije?
 
Kama anaweza kuangushwa huenda shida sio waangushaji bali muangushwaji....

A Good Leader should Pass the Credit and take the Blame (hili ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wa vizazi hivi);

The buck stops with Her...
 
1. January Makamba
2. Aweso
3. Mwigulu
4. Mbarawa
5. Kairuki
6. Gwajima
7. Ummy
8. Kijaju
 
Kama anaweza kuangushwa huenda shida sio waangushaji bali muangushwaji....

A Good Leader should Pass the Credit and take the Blame (hili ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wa vizazi hivi);

The buck stops with Her...
Tatizo rushwa na kupenda sifa
 
Wanasiasa wanaharibu sana hii nchi. unavyovisikia jukwaani ni tofauti kabisa na hali ilivyo katika ground. wakiwa kwenye vikao kuanzia ngazi za wilaya mpaka Taifa unaweza dhani inchi inasonga mbele kwa speed kubwa sana kumbe ni tofauti. katika vikao tunasifiana na kuogopa kusema ukweli kwakua baada ya hapo kunakushughulikiana kila mtu anaishia kusifia anavuta pesa yake anatulia
 
Wanafiki kwenye ubora wao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mbona waziri ni mmoja tu.
 
Mary Masanja huyu huyu mpuyangaji kila pahala?

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…