Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Nadhan mbolea ni sababu ya ukame pia. Awamu ya 5 iliacha shida sana, haikuacha viwanda vya mbolea sasa hv tunapata tabu kudeal navyo, tungevikuta ingekuwa sifa kwetu kuwa tunaupiga mwingiMjinga sana mbolea mkuuu ni shida sana mtaaani mfumo wao ni wa upigaji