Mawaziri waliotia fora kumuangusha Rais Samia 2022 hawa hapa

Mjinga sana mbolea mkuuu ni shida sana mtaaani mfumo wao ni wa upigaji
Nadhan mbolea ni sababu ya ukame pia. Awamu ya 5 iliacha shida sana, haikuacha viwanda vya mbolea sasa hv tunapata tabu kudeal navyo, tungevikuta ingekuwa sifa kwetu kuwa tunaupiga mwingi
 
Nadhan mbolea ni sababu ya ukame pia. Awamu ya 5 iliacha shida sana, haikuacha viwanda vya mbolea sasa hv tunapata tabu kudeal navyo, tungevikuta ingekuwa sifa kwetu kuwa tunaupiga mwingi
Ukame tena umeleta matatzo kwenye mbolea
 
Una muacha January makamba no 1 na no 2. Nape Nnauye kisa timu Zanzibar eti?
 
Makamba kafeliji?
 
Ukame tena umeleta matatzo kwenye mbolea
Serikali yetu hii sababu ni zile zile. Inatumia majanga kufunika madhaifu yote. Utasikia covid 19, vita vya ukraine, ukame, mwendazake, n.k ilimradi tu isionekane dhaifu
 
Serikali yetu hii sababu ni zile zile. Inatumia majanga kufunika madhaifu yote. Utasikia covid 19, vita vya ukraine, ukame, mwendazake, n.k ilimradi tu isionekane dhaifu
Hapo nimekuelewa mkuuu mie nalima mpunga na mahidi mbolea hakuna tuna pata shida kweli nakuambia mkuuu tuna nujua mbolea kwa bei ya juuu sana tena kwa magendo na mbolea hakuna
 
Orodha ya wananchi halisi ni kama ifuatavyo.

1. Pena.

2. Rope.

3. Madevu Chemba.

4. Bi. Mdash na yeye hasomeki vile vile.
 
Waziri wa Ardhi nae anatakiwa kutiwa kwenye orodha, hajui wajibu wake anaingilia taasisi nyingine.

Maswala ya EWURA na Vituo yeye yanamhusu nini?

Wakati Taifa linaukosefu wa Ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…